TENGENEZA FAIDA KUBWA KWA KUWEKEZA NA BITCLUB ADVANTAGE*
BITCLUB ADVANTAGE
*IFAHAMU BITCLUB ADVANTAGE*
HII ni kampuni ya kimataifa inayofanya biashara ya ubadilishaji wa fedha dijitali (crypto...
Habari zenu wadau!
Nina kiulizo hapa kwa wale wajuao mambo, pia naamini siwezi kuwa peke yangu nisiyejua, wapo hata wasiojua ninachouliza ni nini, huenda nao wanaweza kujifunza
ikiwa Bitcoin...
Mwishoni mwa mwaka 2017 waziri wa fedha na mipango FILLIP MPANGO alitoa agizo la matumizi ya shilingi ya Tanzania katika huduma na ununuzi wa bidhaa kwa wananchi. Agizo hilo lilitegemewa kuanza...
Mwenye uelewa na hizi biashara za network marketing naomba anipe in and out ya biashara hii maana nimekuwa nasikia watu wengi sana kuwa huwa wanajiunga.
1) Hii mifuko huwa inaukweli wowote kwamba...
napenda kwashirikisha wanajamii hili suala la mikopo kwenye mabenki yetu hapa Tanzania.siku hizi ukienda kuomba mkopo benki utapewa masharti kama tulivyozoea,ila kinachonikera ni tabia hii ya...
Mhe. Charles J. Mwijage (Mb) Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji amekabidhi mradi wa kujenga Industrial Sheds kwa Mkandarasi JKT mkoani Simiyu tarehe 2 Jan, 2018. Mradi huu ni mahususi...
Nataka nianzishe biashara ambayo ntakua nafuata biadhaa ug
Naleta Tz nisaidieni wadau niabiashagani yenye faida nzuri kdogo achana nguo za mitumba asanteni
Wakuu salaam,
Kama mada inavyosema nina gari zangu mbili zipo tu hazina shughuli. Moja ni Ti Carina na nyingine ni Spacio new model, sitaki kuwapa madereva wa mtaani maana sitaki usumbufu...
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu.
Mimi ni Kijana wa kiume ninasoma Dar-es-salaam. Nimeona nifungue mwaka kwa kumpa mtaji dadayangu kufungua biashara ya vipodozi hapa hapa jijini Dar.
Naomba...
Tafadhali wana jf nina project idea ambayo nataka ni implement lakini tatizo langu ni kwamba sina mtaji na ninahitaji kusajili kampuni ili niweze kufanya huo mradi.
Nimeenda brela kufuatilia...
Habari zenu wana jf members,nia yangu jinsi ya kujua mtaji wa kuanzisha biashara ya kusafirisha parcels kutoka sehemu moja kwenda nyingine ambazo inatumia sana piki piki.
Je nataka kujua faida...
Salamu wana jf Kama tunavyoinasibisha Jamiiforums kama shule kwahivyo tumejifunza mengi hususani katika nyanja za biashara na ujasiriamali, nikianza mimi
Nimejifunza vingi ila kimoja wapo ambacho...
Nimetembelea Lushoto hivi majuzi ila sikuwa na muda wa kutosha kuzuru vema ila nimevutiwa sana na ule mji. Nataman sana kuishi pale coz hali ya hewa ni nzuri mno. Napenda kujua kuna issue gani za...
Juzi kwenye taarifa ya habari ya Azam niliona maandalizi makubwa ya kuanzisha kiwanda cha sukari pale mto Wami.
Nikiwa mkazi wa Matipwili naona kwangu hiyo ni fursa ya kiuchumi mwaka huuKaribuni...
Salam zenu wakuu,
Naombeni tu nijuzwe maswali kadhaa tu yaliyoniacha njia panda
Nimejaribu kufatilia interview moja kutoka kwa millardAyo kuhusu pesa za tanzania zinavyotengenezwa,aliyekuwa...
Habari Jf, naomba kuelekezwa haya kuhusiana na biashara ya kuuza soda za jumla
Ni mtaji kiasi gani unahitajika ili niweze kufungua biashara hii ya kuuza soda kwa jumla?
Depot hii nahitaji iwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.