Wapendwa kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza ,nauliza ni shirika lipi la ndege lina bei ya nauli nafuu zaidi kwa usafiri wa ndege kutoka jiji la Dar Es Salaam,Tanzania na kwenda moja...
Wanaohitaji hereni bei chwee kutoka China
Na wanataka kufunga mzigo mkubwa wa accessories kama saa, cheni na hereni
KARIBUNI SANA
NINAKUFUNGIA MZIGO KWA BEI YA GUANGZHOU
WEWE UNANILIPA...
Hello guys,
Nadhani kampuni ya Bonite inafanya a very lucrative & profitable business kuliko kampuni za kuchimba madini alizo Nazo reginald mengi bcoz
1) Ukienda Bonite, kwa waliofika huko...
Wakuu,
Kufuatia hatua ya serikali kuhamia Dodoma ni wazi kwa sasa huo ndio mji unaoweza kuwa na fursa nyingi za kibiashara kuliko mji wowote hapa Tz. Sababu ipo wazi watumishi wengi wanazidi...
Habari.
Mwaka jana tuliingia mkataba wa kibiashara na nchi ya china, kuuza muhogo katika soko la china. Naomba mwenye kujua zaidi ni namna gani tunalifikia soko hilo au je kuna wakala hapa...
Tafadhali wakuu kwa mtu aliewahi au ambae anafanya biashara ya kuingiza biashara toka china naomba anisaidie vitu kadhaa
1: Ni Miji au mji gani ndio vitu au bidhaa tofauti hupatikana kwa mfano...
Nafanya kazi sekta binafsi kwa miaka mitano sasa.
Nimejitahidi kadiri ya uwezo wangu kwani kwa miaka hiyo nimeweza kujikamua na kujenga nyumbani(finishing bado) kijijini kwetu si mnajua life...
Habarini wanjukwaa na poleni na mihangaiko ya hapa na pale
Mchana wa leo nonakuja kwenu kutaka kupata msaada wa mawazo hasa katika biashara ambayo mtu anaweza fanya na ikamsaidia kujikimu katika...
SHILINGI bilioni 192.5 zimelipwa kwa wakulima wa zao la korosho wa Mkoa wa Lindi kutokana na mauzo ya kilo milioni 58.5 kati ya kilo milioni 59.3 za korosho gha , zilizohakikiwa na Benki ya...
Habari za muda huu wanajukwaa,
Naomba kama kuna mtu anayo pumba ya mahindi au anafahamu wapi inapatikana kwa wingi naomba anifahamishe
Naitaji Pumba ya mahindi yenye sifa hizi
[emoji666]Nyeupe...
Wadau, naomba kuuliza kuhusu hii mikopo ya vicoba ambayo unatakiwa utume laki ili upate mkopo wa millioni 1, au laki 2 upate millioni 2 etc etc. Naomba msaada kujua kama kweli ni mradi halali...
Habari ya asubuhi wakuu,
Ni hivi, hakuna mtu anaweza kufanya kazi bila ya kupatiwa motisha itakayoamsha Ari au Morali itakayoongeza kujituma na kuleta matokeo chanya katika Eneo lake La Kazi...
Kwa ambao tumewahi au tunafanya kazi hii, kwakweli ni kazi yenye changamoto sana hasa kwenye taasisi hizi ndogo ndogo (Microfinance). Mara nyingi wateja wetu huwa ni wasumbufu na wakati mwingine...
Watu wengi hudhani Kujali mteja ni kumuhudumia anachohitaji na kuzungumza nae kwa staha peke yake.
Kwa hizi biashara za kutoa huduma na uuzaji bidhaa kama biashara ya Bar, migahawa n.k unaweza...
Swalaaamaa!!
Nataka kuanza kuwa mjasiriamali wa kutengeneza keki kuziremba na kuziuza
Sasa naomha mnifahamishe wapi naweza pata Yale mapambo ya kupambia keki kwa hapa Mwanza??
Niliangalia...
Wanafamilia habari zenu. Matumaini yangu ni wazima wa afya na mnaendelea na shughuli zenu za kila siku.
Nikiwa nakaribia kwenda shambani kwani kuvuna cashewnuts nikaona sio dhambi kujaribu ku...
Heshima kwenu wadau wa JF, naomba mwenyewe connection ya kuni viwandani maana nimepata mahali pa kupata mzigo kutoka Sengerema ila sina pa kuziuza. Pia Nina uwezo wa kupata mabanzi na mbao reject...
Habari za SAA hizi wanajamii forum ....nmekuja na hii mada lengo n ushaur coz nmekodi fremu kwa bei kidogo lengo n kufungua huduma y pesa kam airtelmoney, tigopesa, m pesa......msaad je niongezee...
Hivi unadhani ni biashara gani ambayo baada ya miaka 5 au 10, ambayo ukiwekeza kwa wakati huu inaweza kuleta faida kubwa
Maoni yako yanaomba yawe chanya kuhusiana na hili swala
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.