Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Jamani habari,nimepata shida ya ghafla nahtaji pesa ya dharula Tsh 500,000/-, dhamana mhusika atachagua nina Tv flat Samsung inch 32 original,au kiwanja kina mkataba wa maiziano,au fridge ndogo...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa. Lengo la kuleta uzi huu ni kuomba wazo la biashara ambayo ninaweza kufanya kwa DSM au kwingine, ila pia iweze kuajiri watu wanaonitegemea, kama 4 hivi kwa kuwa maswala ya ajira...
11 Reactions
158 Replies
31K Views
Naombeni kujua mifano ya makampuni yaliyosajiliwa chini ya EPZ. Shukrani.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MOST WANTED SAIDIA KUSHARE Kwayeyote anayemfahamu huyu jamaa atoe taarifa kituo chochote cha polisi kilicho karibu naye au apige simu kwenda namba hii 0758555076. Amefanya tukio la wizi na utapeli...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina mtaji wa laki tatu na ninahitaji kujishughulisha katika biashara. Naomben ushaur ni biashara gan nzur na yenye faida kubwa nfanye jamn
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wa ndugu Twende kwenye mada, kipindi hiki cha awamu ya 5 ni biashara Ipi imechangamka,? Mtu unaweza unafanya bila Mawazo? 😔 Sio mbaya tukipeana ukweli wa jambo hili mtu ukajua PA kuanzia. Maana...
2 Reactions
113 Replies
13K Views
Aisee niliulizaga hizi tiles za 40x40 ili nimalizie ujenzi nimekuta zimepanda bei nikauliza nini sababu muuza duka akanijibu WANATOZWA KODI KUBWA.HILI JIBU LIMENISIKITISHA SANA AISEE NIMESHANGAZWA...
1 Reactions
53 Replies
13K Views
Habar zenu wadau. Mimi ni mfanyabiashara wa kati, yupo mzee mmoja ni mteja wangu wa muda kidogo...kiasi Cha kuwa rafiki. Baada ya kuniona namna ninavyofanya biashara yangu...alipenda. akanipa...
4 Reactions
128 Replies
32K Views
Habari zenu, Naomba kama kuna mtu anajua wanapouza gari aina hii. Ni kwa ajili ya kubebea mzigo maswafa marefu kama 600kms hivi. Pia waweza nishauri brandi ipi ni nzuri mfano Toyota, TATA, au...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Wanabodi na vijana wenzangu. Kama huna ajira fanya yafuatayo na uchukue hatua; 1. Tafuta Tsh 200,000 tu. 2. Tafuta eneo la kuchoma viazi/chips hasa karibu na vyuo, msongamano wa watu. 3. Fungua...
27 Reactions
36 Replies
11K Views
Habari zenu wana Jf, mm nina duka la vitu mchanganyiko yaani rejareja lakini tatizo ni kuwa kila ninapouza vitu vinaisha tu lakini hela ya kununulia vitu vingine inakosekana kila nikijaribu...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Leo jioni nimeweka zangu vocha ya Tsh 2000 kwenye namba yangu ya Tigo ili nijiunge bando ka WhatsApp la mwezi mzima nikategemea ningekuta GB 3 kwa siku 30. Aisee sikuamini nilichokiona yaani Tsh...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni wakati sasa wa kusafiri pamoja kuufikia uchumi wa kati, kila mwana jf atupie wazo lake analoamini linaweza kumtoa katika hali ya sasa na kumfikisha kwenye uchumi mkubwa. Kwa wale wenye Business...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau naomba kupata uzoefu kwa mwenye uzoefu. Nahitaji kufungua machinjio ya nguruwe. Naomba mwenye uzoefu. Niombe radhi kwa alie imani nyingine wadau.
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Ni mtumiaji mzuri wa PayPal lakini shida inakuja napotumiwa pesa kutoka nje ya nchi huwa sioni ikifika moja kwa moja kwenye account yangu ya bank naombeni msaada wenu tafadhari mwenye kujua hili
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wadau napenda kuuliza nikiwa nimeandika kitabu changu kidogo cha ujasiriamali nilazima kisajiliwe au na weza kukiuza bila usajili wowote? na nikinanani wanahusika na usajili?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jamvi wenzangu mimi ni muajiriwa ktk clinic fulani kama meneja fedha wa kituo. Ninaomba mawazo yenu wakuu kwamba ni njia gani naweza kuitumia kuvuta wateja waje kuhitaji huduma ktk kituo...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa utafiti niliofanya kuhusu biashara ya sandals za Kimasai kwa sasa hazina ubora, sandals unavaa muda mchache zinaanza kubanduka tofauti sana na miaka ya nyuma kuaribika kwake ni kuisha kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza ,nauliza ni shirika lipi la ndege lina bei ya nauli nafuu zaidi kwa usafiri wa ndege kutoka jiji la Dar Es Salaam,Tanzania na kwenda moja...
1 Reactions
45 Replies
10K Views
Wanaohitaji hereni bei chwee kutoka China Na wanataka kufunga mzigo mkubwa wa accessories kama saa, cheni na hereni KARIBUNI SANA NINAKUFUNGIA MZIGO KWA BEI YA GUANGZHOU WEWE UNANILIPA...
1 Reactions
7 Replies
10K Views
Back
Top Bottom