Waziri wa Viwanda: Asilimia 30 ya maeneo tengwa kwa viwanda Mikoni yatoe kipaumbele kwa wajasiriamali wanawake na vijana

masupio

Senior Member
Joined
Sep 16, 2014
Messages
172
Points
250

masupio

Senior Member
Joined Sep 16, 2014
172 250
IMG-20180103-WA0003.jpg
IMG-20180103-WA0005.jpg


Mhe. Charles J. Mwijage (Mb) Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji amekabidhi mradi wa kujenga Industrial Sheds kwa Mkandarasi JKT mkoani Simiyu tarehe 2 Jan, 2018. Mradi huu ni mahususi kurahisisha uchakataji, branding na cold storage kwa bidhaa za wajasiriamali wadogo wadogo mkoani humo.

Katika makabidhiano hayo Waziri huyo amesisitiza Mamlaka za Mikoa kuhakikisha kwamba asilimia 30 ya maeneo tengwa ya viwanda yanatoa upendeleo maalum kwa wajasiriamali wanawake na vijana.

Source: mubashara.
 

Forum statistics

Threads 1,366,672
Members 521,539
Posts 33,375,292
Top