misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,204
- 10,016
Habari zenu wana jf members,nia yangu jinsi ya kujua mtaji wa kuanzisha biashara ya kusafirisha parcels kutoka sehemu moja kwenda nyingine ambazo inatumia sana piki piki.
Je nataka kujua faida na changamoto ya hii biashara na kiasi gani cha kuanzia kama msingi(capital).
Naomba ushauri wenu kutoka kwa wana taaluma au mwenye uelewa wa hii biashara.