Wanabodi na vijana wenzangu.
Kama huna ajira fanya yafuatayo na uchukue hatua;
1. Tafuta Tsh 200,000 tu.
2. Tafuta eneo la kuchoma viazi/chips hasa karibu na vyuo, msongamano wa watu.
3. Fungua...
Habari zenu wana Jf, mm nina duka la vitu mchanganyiko yaani rejareja lakini tatizo ni kuwa kila ninapouza vitu vinaisha tu lakini hela ya kununulia vitu vingine inakosekana kila nikijaribu...
Leo jioni nimeweka zangu vocha ya Tsh 2000 kwenye namba yangu ya Tigo ili nijiunge bando ka WhatsApp la mwezi mzima nikategemea ningekuta GB 3 kwa siku 30.
Aisee sikuamini nilichokiona yaani Tsh...
Ni wakati sasa wa kusafiri pamoja kuufikia uchumi wa kati, kila mwana jf atupie wazo lake analoamini linaweza kumtoa katika hali ya sasa na kumfikisha kwenye uchumi mkubwa. Kwa wale wenye Business...
Wadau naomba kupata uzoefu kwa mwenye uzoefu. Nahitaji kufungua machinjio ya nguruwe. Naomba mwenye uzoefu. Niombe radhi kwa alie imani nyingine wadau.
Ni mtumiaji mzuri wa PayPal lakini shida inakuja napotumiwa pesa kutoka nje ya nchi huwa sioni ikifika moja kwa moja kwenye account yangu ya bank naombeni msaada wenu tafadhari mwenye kujua hili
Habarini wadau napenda kuuliza nikiwa nimeandika kitabu changu kidogo cha ujasiriamali nilazima kisajiliwe au na weza kukiuza bila usajili wowote? na nikinanani wanahusika na usajili?
Wana jamvi wenzangu mimi ni muajiriwa ktk clinic fulani kama meneja fedha wa kituo.
Ninaomba mawazo yenu wakuu kwamba ni njia gani naweza kuitumia kuvuta wateja waje kuhitaji huduma ktk kituo...
Kwa utafiti niliofanya kuhusu biashara ya sandals za Kimasai kwa sasa hazina ubora, sandals unavaa muda mchache zinaanza kubanduka tofauti sana na miaka ya nyuma kuaribika kwake ni kuisha kwa...
Wapendwa kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza ,nauliza ni shirika lipi la ndege lina bei ya nauli nafuu zaidi kwa usafiri wa ndege kutoka jiji la Dar Es Salaam,Tanzania na kwenda moja...
Wanaohitaji hereni bei chwee kutoka China
Na wanataka kufunga mzigo mkubwa wa accessories kama saa, cheni na hereni
KARIBUNI SANA
NINAKUFUNGIA MZIGO KWA BEI YA GUANGZHOU
WEWE UNANILIPA...
Hello guys,
Nadhani kampuni ya Bonite inafanya a very lucrative & profitable business kuliko kampuni za kuchimba madini alizo Nazo reginald mengi bcoz
1) Ukienda Bonite, kwa waliofika huko...
Wakuu,
Kufuatia hatua ya serikali kuhamia Dodoma ni wazi kwa sasa huo ndio mji unaoweza kuwa na fursa nyingi za kibiashara kuliko mji wowote hapa Tz. Sababu ipo wazi watumishi wengi wanazidi...
Habari.
Mwaka jana tuliingia mkataba wa kibiashara na nchi ya china, kuuza muhogo katika soko la china. Naomba mwenye kujua zaidi ni namna gani tunalifikia soko hilo au je kuna wakala hapa...
Tafadhali wakuu kwa mtu aliewahi au ambae anafanya biashara ya kuingiza biashara toka china naomba anisaidie vitu kadhaa
1: Ni Miji au mji gani ndio vitu au bidhaa tofauti hupatikana kwa mfano...
Nafanya kazi sekta binafsi kwa miaka mitano sasa.
Nimejitahidi kadiri ya uwezo wangu kwani kwa miaka hiyo nimeweza kujikamua na kujenga nyumbani(finishing bado) kijijini kwetu si mnajua life...
Habarini wanjukwaa na poleni na mihangaiko ya hapa na pale
Mchana wa leo nonakuja kwenu kutaka kupata msaada wa mawazo hasa katika biashara ambayo mtu anaweza fanya na ikamsaidia kujikimu katika...
SHILINGI bilioni 192.5 zimelipwa kwa wakulima wa zao la korosho wa Mkoa wa Lindi kutokana na mauzo ya kilo milioni 58.5 kati ya kilo milioni 59.3 za korosho gha , zilizohakikiwa na Benki ya...
Habari za muda huu wanajukwaa,
Naomba kama kuna mtu anayo pumba ya mahindi au anafahamu wapi inapatikana kwa wingi naomba anifahamishe
Naitaji Pumba ya mahindi yenye sifa hizi
[emoji666]Nyeupe...
Wadau, naomba kuuliza kuhusu hii mikopo ya vicoba ambayo unatakiwa utume laki ili upate mkopo wa millioni 1, au laki 2 upate millioni 2 etc etc. Naomba msaada kujua kama kweli ni mradi halali...