Nimeamua Kukopa Bank

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,415
1,379
Nafanya kazi sekta binafsi kwa miaka mitano sasa.
Nimejitahidi kadiri ya uwezo wangu kwani kwa miaka hiyo nimeweza kujikamua na kujenga nyumbani(finishing bado) kijijini kwetu si mnajua life tuliokulia maisha ya kuunga unga? (Maisha ya home yalikua mabaya kupindukia,hadi namaliza chuo,njaa ilikua inachakaza nyumbani hadi inatishia kutoa uhai)
Pia kwa miaka mitano hii nimeoa na kujiunga na Msc degree na chuo flani hivi kikongwe hapa nchini,nimenunua ka plot ka kuanzia maisha na kusomba materials

Sasa kwa muda huu nimejikuta mambo yanakua mengi halafu na kipato hakitoshi japo kwa mwezi na take home ni M na kitu hivi.
Nimeona isiwe shida,nimeenda bank kukopa ili nijenge na kununua mahindi ya stock ili badae niuze kuanzia mwezi wa 11 hadi 3 hivi najua bei itakua imepanda kidogo

Sasa hapa nina wasiwasi na hii hela km itamaliza ujenzi,site nilileta material almost 98% (yaani tofari,mawe,mchanga na kokoto).Hela niliyoomba ni 9M nakata 2M ziingie kununua nafaka niweke stock, 1M iingie matumizi ya kawaida (msishangae serikali yetu matumizi ya kawaida ni zaidi ya nusu ya bajeti) halafu 6M zipige ujenzi je zitatosha?
Hapa nasali na kuomba angalau hii hela itoshe
 
Ngoja waje wenye TAALUMA YA MIKOPO.....!

sie wengine ndio ajira zimeyoka tu, HATA HATU JA RIPOTI......!

hivyo hatuna LOLOTE
 
Nafanya kazi sekta binafsi kwa miaka mitano sasa.
Nimejitahidi kadiri ya uwezo wangu kwani kwa miaka hiyo nimeweza kujikamua na kujenga nyumbani(finishing bado) kijijini kwetu si mnajua life tuliokulia maisha ya kuunga unga? (Maisha ya home yalikua mabaya kupindukia,hadi namaliza chuo,njaa ilikua inachakaza nyumbani hadi inatishia kutoa uhai)
Pia kwa miaka mitano hii nimeoa na kujiunga na Msc degree na chuo flani hivi kikongwe hapa nchini,nimenunua ka plot ka kuanzia maisha na kusomba materials

Sasa kwa muda huu nimejikuta mambo yanakua mengi halafu na kipato hakitoshi japo kwa mwezi na take home ni M na kitu hivi.
Nimeona isiwe shida,nimeenda bank kukopa ili nijenge na kununua mahindi ya stock ili badae niuze kuanzia mwezi wa 11 hadi 3 hivi najua bei itakua imepanda kidogo

Sasa hapa nina wasiwasi na hii hela km itamaliza ujenzi,site nilileta material almost 98% (yaani tofari,mawe,mchanga na kokoto).Hela niliyoomba ni 9M nakata 2M ziingie kununua nafaka niweke stock, 1M iingie matumizi ya kawaida (msishangae serikali yetu matumizi ya kawaida ni zaidi ya nusu ya bajeti) halafu 6M zipige ujenzi je zitatosha?
Hapa nasali na kuomba angalau hii hela itoshe
Unaishi wapi?Kopa ila uwe makin, matumiz ya kawaida usinunue wanawake,ukinunua wasikuiibie
 
Gharama za ujenzi ni kubwa ila gharama zinaweza kushuka kulingana na eneo ulilopo, aina ya ujenzi unaotaka kufanya, ukubwa wa nyumba yani ramani ilivyo, ila pesa uliyokopa ilo swala la kununua mazao na kuweka stock lifanyie kazi sana maana nionavyo mm utakimbilia kujenga pesa yote iishie uko alafu wazo la kununua mazao ukalitupa wakati ndyo la muhimu mana linaweza kuja kukupa pesa ukajenga nyumba mbili zaidi mbeleni
 
Nafanya kazi sekta binafsi kwa miaka mitano sasa.
Nimejitahidi kadiri ya uwezo wangu kwani kwa miaka hiyo nimeweza kujikamua na kujenga nyumbani(finishing bado) kijijini kwetu si mnajua life tuliokulia maisha ya kuunga unga? (Maisha ya home yalikua mabaya kupindukia,hadi namaliza chuo,njaa ilikua inachakaza nyumbani hadi inatishia kutoa uhai)
Pia kwa miaka mitano hii nimeoa na kujiunga na Msc degree na chuo flani hivi kikongwe hapa nchini,nimenunua ka plot ka kuanzia maisha na kusomba materials

Sasa kwa muda huu nimejikuta mambo yanakua mengi halafu na kipato hakitoshi japo kwa mwezi na take home ni M na kitu hivi.
Nimeona isiwe shida,nimeenda bank kukopa ili nijenge na kununua mahindi ya stock ili badae niuze kuanzia mwezi wa 11 hadi 3 hivi najua bei itakua imepanda kidogo

Sasa hapa nina wasiwasi na hii hela km itamaliza ujenzi,site nilileta material almost 98% (yaani tofari,mawe,mchanga na kokoto).Hela niliyoomba ni 9M nakata 2M ziingie kununua nafaka niweke stock, 1M iingie matumizi ya kawaida (msishangae serikali yetu matumizi ya kawaida ni zaidi ya nusu ya bajeti) halafu 6M zipige ujenzi je zitatosha?
Hapa nasali na kuomba angalau hii hela itoshe
Ramani yako ina ukubwa gani?
 
Wazo lako la maendeleo ni zuri. Shillingi millioni sita haiwezi kumaliza nyumba ila jenga pole pole hata kama ikichukua miaka sita lengo lako litakuwa limetimia.
 
Anza kujenga malizia vyumba viwili tu uhamie. Hiyo milioni 6 ni ndogo.
Kingine kama una moyo wa biashara ongeza iwe 3 kabsa uizungushe hiyo hela ..
 
Mkuu WENYELE katika ulimwengu wa kisasa kukopa hakukwepeki, muhimu ni kujua unataka kufanyia nini mkopo wako.
Sekta ya mabenki na Mikopo imekuwa TZ hivyo ni mtu kufanya upembuzi wa kutosha.
Kwa uzoefu wangu wa mikopo mambo muhimu ya kuangalia ni yafuatayo:

  1. Riba ya Mkopo - hapa unaangalia kwa wakati huo ni asilimia ngapi (kwa sasa ni kama 15% - 19%) na kama itaongezeka mambo ya uchumi yakibadilika na kama wataongeza bila kukupa taarifa au la.
  2. Kama Riba yenyewe ni 'On Fixed Balance' au 'On Reducing Balance'. FB inapigwa kwa hela uliochukua kwa muda wa mkopo wakati RB inapigwa kwa mkopo uliobakia kila mwezi kwa muda wa mkopo. Zote hizi baadaye hugawannywa kwa muda wa mkopo kupata marejesho sawa('Equal Instalment'). Nzuri ni RB.
  3. Ada ya Mkopo pale utakapotaka kurudisha mkopo wote kabla ya muda('Early settlement'). Hii inabidi uwe makini nayo, waweza kushindwa kuhama Benki.(Standard Chartered 5% ya Mkopo uliobakia,Stanbic 5.9%,NBC 10% n.k).
  4. Ada ya kushughulikia Mkopo - mara nyingi 1 - 3.5% ya Mkopo .
  5. Muda wa marejesho.
  6. Ada ya Bima( mara nyingi 0.68% kwa mwaka kwa muda wa Mkopo na inachukuliwa mwanzoni). Mabenki mengine hawana hii ada na mengine huchukua kila mwezi wakati wa makato..
  7. Fahamu unapaswa kurudishiwa sehemu ya ada ya Bima unaporudisha Mkopo kabla.
  8. Mabenki hununua mikopo ya Mabenki mengine.
  9. Fahamu kuna aina 3 za kufanya michakato ya kibenki.
    1. Retail banking
    2. Business banking
    3. Corporate banking
  10. Retail Banking imegawanyika mara 2 yaani:
    1. Personal Banking
    2. Premier Banking e.g. Private/Priority/Prestige Banking
  11. Hizi mbili - Personal na Premier zinatofautiana kwa vipato, ya kwanza kwa watu wa kawaida na ya pili kwa wale wenye vipato vikubwa. Kwa hiyo ni muhimu kuwa makini.
  12. Benki kubwa za kuchukua mikopo ni CRDB,NMB,Stanbic, halafu Standard Chartered, NBC, Barclays 'in that order'..
Kwa sasa tuyaangalie haya kwanza..
 
jenga nyumba ndogo ya nyuma.. hata vyumba viwili kwanza.. hiyo hela inatosha kama eneo limenyooka... kisa hamia kabisa.. wakati unakatwa mkopo usiwe unalipa kodi ya nyumba tena..
 
Mwenye majibu sahihi ni wewe na muda muafaka wa utekelezaji wa uliyojipangia. Wengine huku tutakuwa wapiga ramli.
 
Pole sana nyumba hiyo wanakuja kuichukua kama walileta wao tofari mkuu. Hii ni uzoefu niliuona kipindi nimekuja home yaani hakuna biashara na mbaya zaidi hauzalishi hiyo pesa isipokuwa kwenda kumalizia nyumba!
 
Nafanya kazi sekta binafsi kwa miaka mitano sasa.
Nimejitahidi kadiri ya uwezo wangu kwani kwa miaka hiyo nimeweza kujikamua na kujenga nyumbani(finishing bado) kijijini kwetu si mnajua life tuliokulia maisha ya kuunga unga? (Maisha ya home yalikua mabaya kupindukia,hadi namaliza chuo,njaa ilikua inachakaza nyumbani hadi inatishia kutoa uhai)
Pia kwa miaka mitano hii nimeoa na kujiunga na Msc degree na chuo flani hivi kikongwe hapa nchini,nimenunua ka plot ka kuanzia maisha na kusomba materials

Sasa kwa muda huu nimejikuta mambo yanakua mengi halafu na kipato hakitoshi japo kwa mwezi na take home ni M na kitu hivi.
Nimeona isiwe shida,nimeenda bank kukopa ili nijenge na kununua mahindi ya stock ili badae niuze kuanzia mwezi wa 11 hadi 3 hivi najua bei itakua imepanda kidogo

Sasa hapa nina wasiwasi na hii hela km itamaliza ujenzi,site nilileta material almost 98% (yaani tofari,mawe,mchanga na kokoto).Hela niliyoomba ni 9M nakata 2M ziingie kununua nafaka niweke stock, 1M iingie matumizi ya kawaida (msishangae serikali yetu matumizi ya kawaida ni zaidi ya nusu ya bajeti) halafu 6M zipige ujenzi je zitatosha?
Hapa nasali na kuomba angalau hii hela itoshe
Mshahara wa 1M+ unakopaje 9m? Au sio maximum, umeamua tu?
 
HahahHa, itakua siyo maximum , sisi wengine tumeshindwa kuchukua mkopo kabisa kwa rate hiyo ya salary,
Mtaani kwetu kuna nyumba 5 zimepigwa mnada huku naona ,
Nyumba yangu mdogo mdogo nitamalizia kwa salary hii hii 1+
 
Si ndo maana nimeshangaa mzee, hivi nowdays kmapuni Binafsi zinadhamini wafanyakazi wake bank?
 
Kwetu sisi hawaruhusu , ukitaka kopa hapa hapa lakini mkopo unapaswa kurejesha within 6 months, Mimi bado finishing tuu napambana na salary yangu
 
Pole sana nyumba hiyo wanakuja kuichukua kama walileta wao tofari mkuu. Hii ni uzoefu niliuona kipindi nimekuja home yaani hakuna biashara na mbaya zaidi hauzalishi hiyo pesa isipokuwa kwenda kumalizia nyumba!
Mkuu sio kweli mikopo inasaidia na inakutoa sehemu ulipo kama utakua na nidhamu na hiyo pesa...tena kufanya biashara za nje risk yake ni kuibiwa huko nje ukifikisha mzigo wewe ni kuuza tuu...kwa hiyo unatakiwa unapokua huko jitahidi kufanya tathmini sahihi za nini ufanye kuliko kuamini hela zitapotea kwa kusikia kwa watu...
 
Back
Top Bottom