Nahisi hakuna kampuni ya ipp inayomwingizia mzee mengi pesa nyingi kuliko bonite

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,664
3,629
Hello guys,

Nadhani kampuni ya Bonite inafanya a very lucrative & profitable business kuliko kampuni za kuchimba madini alizo Nazo reginald mengi bcoz

1) Ukienda Bonite, kwa waliofika huko wanafahamu, kila siku iendayo kwa Mungu, haijalishi ni kipindi gani cha mwaka, lazma zitoke scania za bonite zinazopeleka soda za jamii ya cocacola mikoani (arusha singida na manyara) which means demand ya soda iko juu sana, bado fuso ndogo zinazosambaza soda Kilimanjaro..pia maji ya Kilimanjaro yanauzika mikoa yote Tanzania na demand yake iko juu.hata hii kwenye kitabu chake aliliongelea alisema kuwa financial returns za Bonite ni huge

2) media assets zake kama ITV eatv pia zinamwingizia fedha, lkn haziingizi fedha nyingi kama Bonite..hata hili kwenye kitabu chake aliliongelea.kwa kusema biashara ya vyombo vya habari haina faida sana..

3) Hata biashara zake za kuchimba dhahabu sidhan kama zinamwingizia pesa nyingi kuliko bonite

Kwa sisi wajasiriamali we can learn a thing or two about bizness kwenye biashara za huyu mzee
 
Anachimba dhahabu wapi?. Au mgodi wake unaitwaje na uko wilaya na mkoa gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu biashara ya madini ni kwere mkuu sema sina ushahidi lakini nafikiri pia bonite kwa vile kilimanjaro wamempa support sababu ameajiri wengi na ni mchaga mwenzao[watu wa ukabila msiniquote vibaya] ni kama azam kule zanzibar kuna kupeana support
 
Tanzanite sawa, handeni gold hakupata dhahabu alikuwa anafanya utafiti tu. But in short cash flow ya bonite unaweza kuiona inalipa kwa kuangalia per day but madini turnover inahitaji muda kidogo na yeye bado mgeni kabisa kwenye sector hii.
Mgodi wa tanzanite one, ana hisa kwenye huo mgodi, handeni gold, na mingine nsiyoijua ruby garnet

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello guys,

Nadhani kampuni ya Bonite inafanya a very lucrative & profitable business kuliko kampuni za kuchimba madini alizo Nazo reginald mengi bcoz

1) Ukienda Bonite, kwa waliofika huko wanafahamu, kila siku iendayo kwa Mungu, haijalishi ni kipindi gani cha mwaka, lazma zitoke scania za bonite zinazopeleka soda za jamii ya cocacola mikoani (arusha singida na manyara) which means demand ya soda iko juu sana, bado fuso ndogo zinazosambaza soda Kilimanjaro..pia maji ya Kilimanjaro yanauzika mikoa yote Tanzania na demand yake iko juu.hata hii kwenye kitabu chake aliliongelea alisema kuwa financial returns za Bonite ni huge

2) media assets zake kama ITV eatv pia zinamwingizia fedha, lkn haziingizi fedha nyingi kama Bonite..hata hili kwenye kitabu chake aliliongelea.kwa kusema biashara ya vyombo vya habari haina faida sana..

3) Hata biashara zake za kuchimba dhahabu sidhan kama zinamwingizia pesa nyingi kuliko bonite

Kwa sisi wajasiriamali we can learn a thing or two about bizness kwenye biashara za huyu mzee
Jamaa mm naona alichoongea kina usahihi ila labda ameshindwa kuielezea vzr mada yake.
Kwenye hizo biashara kinachotofautiana ni consistency kwenye cash flow.
Hyo ni kwa sababu biashara ya chakula na vinywaji inahitajika kila siku iendayo kwa mungu.
Haijalishi unaifanyia wapi au kwa watu gani,ugenini au mahali ulipozaliwa.
Lakini ukija kwenye biashara ya madini unaweza ukaanza kuchimba Leo ukaja kuyapata madini baada ya miaka mitano na kumbuka ndani ya miaka yote hiyo unawahudumia wachimbaji kwenye chakula,vifaa vya kuchimbia na utilities.
Haya na ukija kwenye biashara ya media(Television) pesa yake inapatikana kwenye matangazo.
Sasa tujiulize ni wangapi kati yetu tumepeleka tangazo letu ITV ndani ya miez mitatu?
Kwa mtu mwenye kichwa chepesi atakuwa amenielewa nilichomaanisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu biashara ya madini ni kwere mkuu sema sina ushahidi lakini nafikiri pia bonite kwa vile kilimanjaro wamempa support sababu ameajiri wengi na ni mchaga mwenzao[watu wa ukabila msiniquote vibaya] ni kama azam kule zanzibar kuna kupeana support
Coca-Cola huwezi linganisha na Azam, Coca-Cola ni kati ya companies top 5 duniani na ndio company inayotumia pesa nyingi kuliko company yoyote duniani kwenye marketing, nafikiri kama una kamwangaza ka business unaelewa nini maana ya marketing.

Na uache ulimbukeni Coca-Cola ina hakimiliki za kieneo na pote inafanya vizuri, Coca-Cola ya kule Mwanza ina mchango wa kisukuma? Au Kilimanjaro Coca-Cola inanyweka kwa amri ya serikali? Azam ipo mpaka Zimbabwe, huko nako kuna wapemba?

Akili finyu kama hizi ndio zinawafanya watu mbaki mafukara kwa excuses zisizokua na kichwa wala miguu.
 
mkuu biashara ya madini ni kwere mkuu sema sina ushahidi lakini nafikiri pia bonite kwa vile kilimanjaro wamempa support sababu ameajiri wengi na ni mchaga mwenzao[watu wa ukabila msiniquote vibaya] ni kama azam kule zanzibar kuna kupeana support
mkuu biashara ya madini ni kwere mkuu sema sina ushahidi lakini nafikiri pia bonite kwa vile kilimanjaro wamempa support sababu ameajiri wengi na ni mchaga mwenzao[watu wa ukabila msiniquote vibaya] ni kama azam kule zanzibar kuna kupeana support
Kwa hiyo wewe unavoona wamempa support ipi?
 
Mleta mada yupo sahihi. Ukiachana na Viwanda yule mzee ana stakes mpaka kwenye ma kampuni London Stock Exchange na NYSE.

Ile Bekshire Hathaway ya Warren Buffet kuna stakes anazo mle [Sikumbuki Nilisoma Wapi]

Dingi Miamala Iko Njema Sana Yule.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom