Habari zenu wadau,
Naomba msaada kwa yeyote anaefahamu mahala naweza pata bunda kubwa za karatasi za Kaki au Nyeupe kama zile wanazotengenezea Bahasha yaani "Paper Rolls".
Natanguliza shukrani...
Habari wajuvi wa Jf
nimekuwa na matamanio ya kufanya biashara yoyote halali ili niweze kujikomboa kiuchumi na kupiga hatua kimaisha kama kijana
katika harakati za kupambana kutafuta kianzio...
siwezi ku-reveal particulars zangu zote hapa. mambo mengine tutaongea PM. Hii ni kwa mtu aliye serious tu.
Habari wakuu.
Nina kimgahawa changu kadogo maeneo ya dodoma mjini kuna movement kubwa Y...
sio kila mara unakula nyumbani. mara nyingine unalazimika kwenda kula migahawani au mahoteli. Ni experience gan mbaya ushakutana nayo? weka kero yako hapa.
as for me, kuna siku nimeenda kula kwa...
Nadhani ujenzi wa reli ya kisasa ni jambo ghali Sana. Wakoloni walijenga reli kibiashara je SGR inajengwa kibiashara pia? Bidhaa zipi kutoka wapi zitasafirishwa kifaida kwenda wapi?
Sioni mazao...
Habari zenu wana jf....
Mimi ni mhitimu wa wa chuo cha sokoine university of agriculture katika kutoka katika janga la ukosekanajia wa ajira nilikaa na chini nakupata wazo ambalo ninaweza...
Mimi ni mnunuzi wa mtandao wa aliexpress mnoo
Ijapo nina uzoefu kiasi huko kuna mambo hata kwangu hayakaa sawa kabisa
Mambo yenyewe ni haya siyaelewi hasa discount coupun hii inakuaje...
Wakuu kwa mwenye uzoefu wa hii biashara nina mahindi yapo mbeya mimi naishi dar es salaam sasa nataka kujaribu kufanya biashara ya kusaga sembe kuleta huku dar kutoa mbeya mzoefu naomb msaada soko...
Nimekaa hapa kwa mfanyabiashara mmoja naangalia jinsi anavyozalisha pesa kubwa
kwa Pesa ndogo. Amechukua mzigo kwa@ 15,000 mpaka kuufikisha imemgharaimu@ 21,500
Thamani ya mzigo wote 210 * 21500 =...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa ameagiza ndugu Chogo Marwa kukamatwa kwa tuhuma za kutoa mikopo ya kitapeli kwa wananchi.
Moja ya masharti ya mikopo hiyo ni kukabidhi kadi ya ATM...
wakuu nina kimgahawa cha kizushi napikaga chakula. leo mwezi wa ramadhani umeanza na waumini wengi wa kiislam wanafunga mchana hawali. nahisi kabisa kabiashara kangu katadhoofika. au mnasemaje wakuu?
Kesho naenda kwa afisa elimu akanipe japo shule nikanivolontie biashara Iko ila nahitaji niongeze uwanja wa pesa.
NINA DEGREE YA EDUCATION NATAKA NIKAOMBE KAZI SERIKALINI. Tatizo ni kumpata...
Tanzania biashara ya utalii na madini hazijatendewa haki kabisaaa.
Sasa nahitaji watu wanne au zaidi tuanze na campsite moja kabambe ambayo itakua mfano Tanzania ikiwezekana Dunia nzima.
Wekeni...
Eti wanajamvi ni bank gani unaweza fungua account na kuweka pesa nyingi n.k leo naweka dollar 560, kesho kutwa naweka dollar 4700. In short ni bank gani hapa Tanzania naweza kuhifadhi pesa hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.