Makampuni ya simu changamkieni fursa hii

Makampuni ya simu changamkieni fursa hii

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,745
Reaction score
25,676
Leo jioni nimeweka zangu vocha ya Tsh 2000 kwenye namba yangu ya Tigo ili nijiunge bando ka WhatsApp la mwezi mzima nikategemea ningekuta GB 3 kwa siku 30.
Aisee sikuamini nilichokiona yaani Tsh 2000 wamenipa GB 1 ndani ya siku 30 kwa ajili ya WhatsApp tu.
Nawashauri makampuni ya simu changamkieni fursa hii fanyeni kwa Tsh 2000 watu wapate hata GB 3 za WhatsApp tu au wapate GB 2.5 maana Tigo wameshaanza kuboronga.
Vodacom Tanzania
airtel
@Halotel
Smiles
TTCL
zantel
 
....Mzee mbona WhatsApp 1GB ni siku nyingi sana.(30 days).
 
Back
Top Bottom