Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ushauri kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kuanzisha safari za kwenda kisiwa cha Mafia. Kisiwa cha Mafia kina uwanja wa ndege ambao una uwezo wa kupokea ndege aina ya Fokker Friendship...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau habari za usiku, Naomba kuuliza yalipo maduka ya jumla Dar es Salaam yanayo uza vifaa kama vile vitasa, kalamala (galamala), miko ya ujezi, pima maji, makomeo, makufuli aina mbali mbali...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu wa wakuu; Wapi naweza kupata pizza kwa mbeya mjini hapa. Na Bei je inaanzia shingapi Maana naishia kuziona tuu kwenye picha Sasa wacha nionje na Mimi.
1 Reactions
98 Replies
11K Views
Hapa ninamaanisha makampuni yanayotoa bima za magari, nyumba, na vitu vingine. Unapokwenda hitaji huduma zao wanafanya mahesabu na unalipa jumla yote including percent ya kodi (TRA) lakini hupewi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
INCOTERMS (International Commercial Terms) ni maneno ya kawaida sana katika biashara yoyote ya kimataifa bila kujali ni njia gani inatumika aidha kwa intaneti au ana kwa ana. Hautaweza kuuza au...
18 Reactions
16 Replies
9K Views
Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imependekeza kusamehe kodi mafanyabiashara au mwekezaji kwa kipindi cha miezi sita pindi anapopewa Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN). Serikali...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna mzigo nataka kusafirisha, natakiwa nipaki mzigo usizidi kilo 50, na jumla ya mzigo na kifungashio iwe kilo 50.2. Je kwa hali hiyo CIF mpaka bandari mojawapo ya hizo inapatikanaje, na inaweza...
0 Reactions
1 Replies
905 Views
Salute folks, Ni matumaini yangu wote mu wazima wenye afya njema kutuwezesha kuendelea na shughuli zetu za kila siku za uzalishaji. Nimekua member humu kwa muda mrefu kiasi chake, na leo nikaona...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Nch nyingine mfano Canada nyumba kama haikaliwi na mtu kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo ni asilimia moja ya thamani ya nyumba. Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya...
8 Reactions
101 Replies
9K Views
Baada ya kupata upenyo wa kuingia Red Carpet, sasa ndugu yetu Rost-Arm ameanza sarakasi mpya. Juzi juzi kazindua kampuni ya taifa Gas, ambayo kimsingi iko Seychelles. Sasa anataka kuiuza kampuni...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari ndugu waheshimiwa, kwa wale wanaojua au kufanya biashara kwenye mikoa tajwa nnaomba msaada.... nnaplan kufanya biashara za minadani na kuna option mbili za maeneo nnayotamani kuanzia mkoa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Wakuu habari za muda huu, natumai mko salama, Nina ombi hili; ... ninahitaji pump ya maji ya solar kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji. Shamba lipo ekari tatu, na kisima kipo. Kwa sasa nahitaji tu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tafadhali naomba kujua aina tofauti za vifungashio vya kuku walio Chinjwa tayar kwa ajili ya usambzaji katika masoko mbali mbali, Ningefurahi ningepata na picha kabisa
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari ya muda huu wana jukwaa. Naitwa jimmy natokea kampuni ya JERIMY ALUMINIUM inayohusika na uuzaji wa chuma za aluminium aina zote na pia tunatengeneza aina zote za madirisha na milango ya...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari zenu wadau? Natafuta wale wanafunzi walio maliza form four Tambaza sec 1994 From Aletas Chamakeo
1 Reactions
0 Replies
490 Views
Kama tittle inavyojieleza, ni biashara gani inaweza ikatiki ndani ya wilaya ya same pale same mjini? nafikiria nifungue duka la nguo, duka la vyakula la kawaida au duka la spea za simu. je...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Ndugu nina wazo ambalo nimekwisha ongea na watu wachache ninao waamini wakaniambia nitafute wadau niweze kufanya nao ubia na kupata hati miliki naomba kuasilisha! Lakini Sijui namna ya kupata...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ndugu zangu nimekuwa natafakari sana kuhusu nguvu nyingine nje ya Mungu inayoweza kumpa mtu mafanikio bila kumtegemea Mungu ambaye mimi namtumikia kama mkristo. Hii nguvu ikoje, kuna mtu sio...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari wanajamvi. Naomba msaada kwa anaefahamu mashati ya mitumba grade 1 yanapatikana wapi kwa hapa Tanzania. Msaada please
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom