Ndugu nina wazo ambalo nimekwisha ongea na watu wachache ninao waamini wakaniambia nitafute wadau niweze kufanya nao ubia na kupata hati miliki naomba kuasilisha!
Lakini Sijui namna ya kupata...
Ndugu zangu nimekuwa natafakari sana kuhusu nguvu nyingine nje ya Mungu inayoweza kumpa mtu mafanikio bila kumtegemea Mungu ambaye mimi namtumikia kama mkristo. Hii nguvu ikoje, kuna mtu sio...
Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu leo nimekuja na hii biashara yangu... Kama mnavyojua umuhimu wa mbegu za maboga kwenye mambo yetu yaleee ya chumbani (booster) pia huongeza wingi wa...
Naitaka Serikali ya Jamuhuri itunge sheria itakayotoa kibari kwa kila kijana aliye na umri wa miaka 18-35 na kuendelea (awe tajiri au masikini, awe na ajira au hana) kuchangia kwa lazima Tsh.6,000...
Habari wanaJF
Niliona printing papers na stationery Kwa bei nafuu sehemu Fulani mtandaoni. Sasa sijui nikitaka like box 100 nafanyaje? Sijajua namna halali zankuingiza mzigo no zipi, na cost...
Umeshawahi kujiuliza muda unaoutumia kufanya kazi za mwajiri kama ungekuwa unafanya shughuli zako mwenyewe ungekuwa wapi leo? Jaribu kuwaza kwa sauti halafu ujipe majibu mwenyewe, kujiamini na...
Heshima kwenu mashujaa wa Taifa hili.
Ni hivi mimi ni mwanafunzi wa chuo kimoja apa Tanzania(Moro), Mwaka wa pili nimechoka kulala lala na kushinda kupiga selfie na kuchat instagram, Nimefikilia...
Naiomba serikali ya Jamhuri ianzishe tozo ya Tsh.500 kwa kila gari binafsi ndani ya wilaya. Mfano gari binafsi ndani ya wilaya iliyopo kwa siku itatoa Tsh.500 ikiingia barabara (movement). Na...
Biashara na matangazo ya karne ya 21 yanategemea sana teknolojia. Tunaishi ulimwengu wa dijiti hivyo kila kitu hakina budi kufanywa kidijitali. Unaweza kuwa na biashara yako au kampuni yako...
Wakuu
Ukijaribu kuangalia kwa umakini mfumo wetu wa kodi ni wakijinga sana na hautotusogeza mbele.
Gari kwa Tanzania ni Anasa tena anasa kubwa sana.
Unanunua gari milioni tano eti uandae na kodi...
Kiwanja Kinauzwa kipo Boko CCM barabarani njia ya kuelekea Bahari beach
Kina ukubwa wa SqM 2900
Kiwanja Kimepimwa kwa matumizi yote Commercial na residential na kina Documents zote.
Bei ni...
Wakuu mimi nipo vijijini huku, mji mkubwa ambao nipo karibu nao ni Mwanza. Sasa nataka nijaribu bahati kwenye biashara ya kuku wa kienyeji, niwe nawaleta mwanza.
Tafadhali kama kuna anayeweza...
Tafadhali naomba mwenye ufahamu /uzoefu anisaidie katika hili; Ikiwa mtanzania aliyeko nje ya nchi ana gari lake analolitumia nje ya nchi na anataka kwenda nalo Tanzania lakini umri wa gari ni...
Waungwana nisaidie kujikwamua kiuchumi nitafuta soko la Karanga popote ndani na nje ya mipaka ya Tanzania mzigo upo wa kutosha no yangu 0674067474 karibuni
Habari zenu ndugu zangu,,,, cna mengi ya kuongea ila nia hasa ya uzi huu ni changamoto ninayoipata katika kuanda fomula ya kuchanganya chakula cha broilers kwanzia starter mpaka finisher...
HI..
Mara zote tumekuwa tukikwama kuanzisha biashara kutokana na mitaji kuwa midogo. kuna makampuni mengi amabayo yana tafuta soko la bidhaa zao.
Sasa kwa mfano mtu ukaamua kuwa agent wa kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.