Wadau habari za jioni naulizia eti hapa DSM kuna duka gani wanauza miwani za macho yenye upungufu wa uwezo wa kuona,..maana kuna hospitali moja nilipimwa macho nikaambiwa niko na shida ila ss...
Habali zenu wana jamvi
Leo nimeamini kwamba vyuma vipo tyt sio tu kwa binadamu mpka wanyama na wadudu.nimepatwa na ghadhabu ju ya huyu mdudu panya kitendo alichonifanya kula speaker ya hometheater...
Habari wana JF,
Samahanini kaka &,Dada mlioko humu, ila nalikua naomba ufafanuzi Kwa Mwenye ufahamu juu ya swala hili.
Mimi ni mfanyabiashara, na ninamshukuru Mungu ameniwezesha kupanda kiwango...
Habari za hapa.
Leo nimeona jambo (kwa upande wangu naliona kama kero/ tatizo/ shida/ usumbufu).
Nilikuwa na ujitaji wa Statement ya mpesa, nikaingia online kuona kama naweza ipata nikakosa...
Habari wanajamvi, nataka kujua changamoto na utaratibu wa kuuza asali au mbuzi Comoro, kwa mwenye kujua anijuze, je lazima uwe na soko tayari kule au unaeza peleka tu mzigo?
Habari za leo!
Tumekuwa tukipeana na kushauriana juu ya mawazo mbalimbali ya kuanzisha shughuli za uwekezaji. Ni jambo zuri na jema kabisa kwa afya ya uchumi wetu kwa mtu mmoja mmoja na hata kwa...
Habari, naomba kujua taratibu na vigezo vya kujiunga na Uber kwa sasa vikoje, nina kagari kangu nataka nijiunge huko, msaada kwa anaejua alie na current information.....asanteni!
======
1.Gari...
salaam wadau!
ningependa kupata ufafanuzi na ushauri kabla sijafanya maamuzi. Nipo kwenye harakati za kuanza kujenga, ningependa kupata ushauri kuhusu tofali.
Ninaishi moshi mjini na nategemea...
wakuu naomba kujua, kuna jamaa yangu ana kampuni sasa anataka akachukue leseni ya biashara manispaa ila ameambiwa inatakiwa apeleke uthibitisho wa vitambulisho mf: cha kura/taifa vya shareholders...
Maonesho ya sabasaba yangekuwa mahala pa watanzania na watu wa nchi jirani kwenda kununua kwa wingi mazao ya madini yetu kama mikufu, pete, heleni, vikombe n.k kwa bei nafuu. Wizara haina budi...
Bei za bidhaa za Azam kama maji, unga na ngano zimepaaa!
Ukizingatia Azam ni mzalishaji mkubwa wa vyakula na vinywaji laini hapa nchini, kupanda kwa bidhaa zake kutaathiri sana maisha ya walala...
Wakuu habari za majukumu.
Natambua JamiiForums ni kijiwe cha wasomi na mchanganyiko wa watu wenye busara zao.
Najitokeza mbele yenu mnipe ushauri kidogo, kwa ufupi mimi ni muajiriwa katika...
Siku za karibuni kumekua na uhaba wa soda zenye sukari kwa baadhi ya maeneo, nilichoshangaa ni kua ukiagiza soda ya Coke unaletewa chupa lenye lebo ya "haina sukari" najua na naelewa umuhimu wa...
Habarini wanandugu wa JF na poleni na majukumu ya kila siku.
Leo hii nimeona nije na hii thread📜📜📜📜📜 angalau tutoe tongo tongo machoni mwetu.
Huu UZI utaweza kukusaidia Wewe na Mimi tuepukane na...
JAMAN WANA JF
Mimi nimejiunga na Bank ya CRDB ni mteja mgeni kabisa kwa maswala ya kibank.
Shida yangu ni hyo ya makato yao
Nimefungu Acount ile yenye ki card kimeandikwa TEMBO CARD.
sasa...
Habari zenu!
Leo katika jukwaa letu pendwa napenda tujifunze kitu kupitia kwa wenzetu ambao kwa namna moja au nyingine nao walipambana sana kufikia mafanikio fulani.
Makala hii nimeitoa ktk Jarida...
Eee bana Mabanker mpo? Aisee usawa wetu umekaa vibaya sana.
Naomba tushee mawazo,vikwazo na experiences mbali mbali zilizopo ofisini kwetu na field.
Kama kwangu wateja wetu wanafilisika sana...
Habari!
Natarajia kwenda jiji mwanza mwanzoni mwa mwezi wa nane kibiadhara,naomba kufahamu yafuatayo kutoka wenyeji na wakongwe wa jiji;
1. Biashara yeyote yenye faida kwa mtaji mdogo
2. Maeneo...
Habari wakuu.. je ninaweza badili account kutoka personal kuwa chapchap?? Lengo ni kukwepa makato ya mwezi /maitainance fee na makato ya kutoa pesa. Naombeni msaada wakuu
Kuna watu nimekuwa naona humu wanashauri watu wanunue mazao ya nafaka wakati wa mavuno wauze baadae ya bei kuwa nzuri.
Biashara yeyote Inakuwa nzuri pale inapokuwa na mzunguko mzuri wa pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.