Habarini ndugu zangu
Naomba msaada katika hili Nina biashara yangu ya Urembo nilianza mda kama mwezi Wa kwanza hivi ..sasa kwa hatua niliyofikia nataka kumix na vipodozi kidogo kwa mbali
Sasa...
Wakuu, mm ni mjasilia mali mdogo, nahitaji kufungua Ofsi ya Uwakala wa Mabasi yaendayo mkoani. Mimi nipo Dar lkn sehemu niliyopo inachangamoto Sana ya upatikanaji wa Ticket za mabasi pamoja na...
Waziri wa Ujenzi. Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Isack Kamwelwe ametangaza kuanzia leo Jumatano, Julai 17 Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) litanzindua safari yake ya kwanza kutoka Dar es...
Habarini wadau, kwenye habari za tbc namuona mkuu wa wilaya anasema ataanza kusweka ndani wenye viwanda vya mvinyo mkoani dodoma kwa kushindwa kununua zabibu zilizokomaa mashambani.
Yaani...
Dar es Salaam. CRDB Bank customers yesterday find themselves in mayhem after the banking services were disrupted by network failures.
The problem which started on Monday mid night continued today...
Max Malipo wawekeni wazi mawakala wenu kuhusu kupungua kwa kamisheni, haiwezekani mkasema tu kuwa kamishen imepungua kutoka 2.5% hadi 0.5% ya mauzo anayofanya wakala kwny luku alafu muishie hapo...
Mambo vipi?
Kama kawaida siku ya leo tunakutana tena ambapo ningependa nikufahamishe mambo 5 yakuepuka unapoanza online business kwa mara ya kwanza.
Somo hili ni muhimu kwasababu ukiweza...
Vipo vitu vingi vya kufanya, usipende kupoteza muda wako kwa kufanya kitu ambacho uwezi. Fanya kile unachoweza na ambacho unahisi kitakupa matokeo chanya.
Today, a new business directory (finder.co.tz) has been launched marking it as the best business directory in Tanzania.
Starting with over 700 businesses including hotels, apartments, insurance...
Wadau naomben ushauri na maono yenu katika hili
Mimi ni kijana wa miaka 20 nimekua nikijifunza ufundi aluminum Sasa ni mwaka wa pili nakaa kwa shemej yangu Sasa imefika muda mwafaka wa kutoka na...
Baada ya kuangalia documentary hii ya kijana huyu wa kisomalia Mahad Nur na ndugu yake Mohamed Nur, wanaomiliki City Mall , Victoria Plaza na Africa flight Service, a cargo company , nimejiuliza...
Salaam wakuu.
Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi, magazeti haya yanasambazwa nchi mzima mfano Nipashe, Ijumaa, Risasi, The Citizen na mengine mengi, Je haya magazeti yanakwenda wapi...
Bank ya CRDB tangu siku ya Ijumaa ya Tarehe 12 mmekua na ukiritimba wa kuzuia kutumia pesa zetu tulizo zihifadhi kwenu kwa kisingizio cha Network mbona wakati pesa tunaweka na kufungua account...
Wanajamvi,
Naombeni msaada wa kupewa design nzuri na za kisasa za lounge na club!
Kwamba lounge iwe na makuti kwa juu sio bati..
Nini na nini natakiwa niwe nacho kuanzisha hyo lounge na club...
This detailed 38 page guide is for you who wants to start a gym business. It contains contains:
Overview and Trends
The Modern Gym
Major Types of Gyms
Location & Premises
Where...
Nadhani kila mmoja wetu ni mtumiaji wa dawa ya meno, na katika soko letu Whitedent imeteka kabisa soko kiasi kwamba kila BRAND nyingine inayojaribu kujipenyeza inapigwa mweleka, why ?
- Colgate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.