Naomba msaada kuhusu kufanya top up ya mkopo CRDB

gracious86

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
437
54
Habari ya muda huu wapendwa. Naomba msaada kuhusu kufanya top up ya mkopo crdb. Huwa inaruhusiwa muda gani baada ya kupata mkopo wa kwanza?;msaada wenu please. Mimi ni mtumishi wa umma
 
Back
Top Bottom