Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Manunuzi ya mtandaoni ni njia rahisi ya kuokoa muda na gharama. Badala ya kuchoma mafuta na kwenda kununua vitu, unafanya manunuzi yako kupitia simu ama kompyuta. Lakini, kadri umaaarufu wake...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, Kiukweli na uhalisia, Karibia 84.6% ya watu wanaofanya biashara ya pesa za mitandao wanatumia line zenye majina ya watu wengine- Ambazo wamezipata kwa kununua au kupewa kienyeji tu, Na...
2 Reactions
18 Replies
7K Views
Mjasiriamali jokate Mwegelo almaarufu kama Kidoti ametajwa katika orodha ya jarida la Forbes ya wajasiriamali 30 wa Afrika wanaofanya vizuri wenye umri chini ya miaka 30. My take: Hii ni hatua...
0 Reactions
49 Replies
9K Views
Habari zenu!! Nahitaji msaada kama kichwa Cha mada kinavyojieleza!! Nataka kutengeneza vifungashio Kama njia ya ujasiriamali. Naomba anaefahamu sehemu ninayoweza kupata anisaidie!! Natanguliza...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
ELIMU BIASHARA UNAHISI HAUTAWEZA? ANZA NA ELFU KUMI LEO Kuna watu tunatumia miaka Mingi sana Kulalamika hatuna mitaji, na hatutumii hata nusu ya miaka hiyo kujaribu ku-save ili tupate mitaji ya...
7 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari wakuu nimefanikiwa kupata milion 7 na nimepewa fremu ya bure na Baba mkwe wangu cha kufanya ni kuiboresha kulingana na biashara ninayotaka kuifanya. Sasa baada ya kuwaza nikaona nifanye...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za mchana wanakubwa zangu leo nimekuja na swali tena, . . . Nimepata wazo lakutengeneza pop corne ya vannila,ni biashara ambayo anaifanya rafiki yangu lakini yeye center huko Town.. . . . ...
7 Reactions
25 Replies
7K Views
Habara za muda huu wakuu..wale wazoefu atleast niwe na mtaji kias gani ili niweze anza ,na je vp biashara ya computer pale kabwe ghorofani ?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Juzi nilipost humu kuhusu fulsa ya biashara ya mahindi Rwanda lakini response naona imekuwa ndogo nawalioonyesha interest hawako serious at all. Mfanyabiashara mwenye uwezo wa kusupply mahindi...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wana JF? Naamini wengi wanaouza either duka au wajasiriamali wadogo wadogo watakua wanajiuliza hili swali, wengi hatuna majibu kamili (hasa tusio na ujuzi wa uhasibu/biashara)!! Wataalamu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wadau, Kuna wawekezaji wanataka kuwekeza Tanzania au popote Africa katika sekta ya nishati, je ninaweza kupata wahusika au kama kuna wadau humu tufanye kazi?
0 Reactions
1 Replies
751 Views
Naomba muongozo nataka kwenda china kuchukua mzigo wa Jeans, bajeti yangu nina million 5 tu. Ntafaanikiwa? kwa wenye uzoefu naomba msaada wenu Tafadhali.
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Wanajukwaa,Tafadhali mwenye mawasiliano ya Kapunga rice project limited anisaidie,Hawa wanahusika na uzalishaji na kupaki mchele wako kijiji cha Kapunga wilaya ya Mbalali jijini Mbeya...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wana JF, naomba kufamu kama kuna uwezekano wa kufungua duka la bidhaa ya matumizi madogo madogo ukiwa na mtaji wa Tsh. 1,000,000. Mawazo yenu ni mhimu sana.
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Kuna mwenye ufahamu kuhusu hili, nakumbuka kuna wakati walifuta kodi kwenye kompyuta je iko hivyo kweli? Kuna wakati niliagiza laptop battery na RAM kutoka amazon nikapigwa kodi je kwa laptop...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Wana Jfm naomba kuelekezwa kwa upande wa EFD machine,Nafanya mauzo kwa wateja ambao hawana TIN namba na VRN.Naomba kuelekezwa jinsi ya kuweka jina la mteja ili nikimkatia mteja risti jina...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Serikali Iache Upotoshaji Takwimu za Pato la Taifa Ndugu Wanahabari, Mtakumbuka Kamati Kuu ya ACT Wazalendo iliyokaa Oktoba 27, 2017 ilifanya uchambuzi juu ya hali ya uchumi wa nchi yetu, na...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamvi em tujuzeni mliopo fronti hivi DIAMOND KARANGA zinaendeleaje sokoni? naona matangazo yote kimya na madukani nilikozoea kuziona sizioni tena.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hali vipi Wadau! Nilitaka kujua namna ya kupiga hesabu duka la reja reja, yaani kujua faida iko vipi kama umeweka msimamizi. Hesabu haijapigwa tokea mwaka jana mwezi wa kwanza na kama tunavyojua...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…