byakunu JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 622 Reaction score 1,400 Jul 22, 2019 #1 Wanajamvi em tujuzeni mliopo fronti hivi DIAMOND KARANGA zinaendeleaje sokoni? naona matangazo yote kimya na madukani nilikozoea kuziona sizioni tena.
Wanajamvi em tujuzeni mliopo fronti hivi DIAMOND KARANGA zinaendeleaje sokoni? naona matangazo yote kimya na madukani nilikozoea kuziona sizioni tena.
baraka bb JF-Expert Member Joined Mar 20, 2016 Posts 2,690 Reaction score 3,903 Jul 22, 2019 #2 watu wanazigombania kwa hyo zinawahi kuisha ndo maana uzioni
byakunu JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 622 Reaction score 1,400 Jul 22, 2019 Thread starter #3 baraka bb said: watu wanazigombania kwa hyo zinawahi kuisha ndo maana uzioni Click to expand... Aisee yawezekana kweli maana sioni hekaheka kabisa
baraka bb said: watu wanazigombania kwa hyo zinawahi kuisha ndo maana uzioni Click to expand... Aisee yawezekana kweli maana sioni hekaheka kabisa
King Loto JF-Expert Member Joined Nov 28, 2018 Posts 1,757 Reaction score 1,543 Jul 22, 2019 #4 Ndiyo biashara zilivyo labda hawakuona faida.