JE, UKIPEWA 1,000,000 UTAWEZA KUFUNGUA DUKA LA REJA REJA?

K

Kigorohe

Member
Joined
May 21, 2019
Messages
26
Points
45
K

Kigorohe

Member
Joined May 21, 2019
26 45
Habari wana JF, naomba kufamu kama kuna uwezekano wa kufungua duka la bidhaa ya matumizi madogo madogo ukiwa na mtaji wa Tsh. 1,000,000. Mawazo yenu ni mhimu sana.
 
Betri yenye chaji

Betri yenye chaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Messages
685
Points
1,000
Betri yenye chaji

Betri yenye chaji

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2012
685 1,000
1.kodi ya pango=40,000/= mwezi(lipia miezi 6)
2.ukarabati wa pango kugongea shelfu= 200,000/=(makadirio)
3.Kabati+ meza(200,000/=)
4.mzani wa kupimia vitu

Usiogope anza kwa kujibana, kama ni eneo lenye mzunguko mzuri mtaji utakua haraka.
 
Mr Confidential

Mr Confidential

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Messages
492
Points
500
Mr Confidential

Mr Confidential

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2018
492 500
Nani akupe hiyo hela. Acha ndoto za Abunuasi.

Kuwa na ndoto kubwa ila anza kidogo kidogo.
 
M

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
8,439
Points
2,000
M

Molembe

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
8,439 2,000
Hiyo nenda porini huko nunua mazao nenda kauze mjini, maana kwa bajeti hiyo duka litakuwa dogo sana, pesa nyingi itaishia kwenye miundombinu.
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
19,113
Points
2,000
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
19,113 2,000
Labda duka la sigara za rejareja ila kama ni bidhaa za nyumbani utauza tu nafaka mbili (mchele na maharage)
 
Mtapenda

Mtapenda

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Messages
281
Points
500
Mtapenda

Mtapenda

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2011
281 500
Pesa ni ndogo mnoo mkuu... M 1.. huwezi fanya biashara hiyo... Tafuta biashara moja kama wadau walivyo shauri hapo.... Chukua mazao ama matunda toka bush weka mjini... Kwa jumla jumla..
 
Malingumu

Malingumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Messages
584
Points
500
Malingumu

Malingumu

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2012
584 500
Anza ...inatosha ... ingawaje mimi nilianza na 1.8m cha msingi:

-Shelfu weka upande mmoja 100k
-kabati/meza simple 50k
-kodi
-mzani(tafuta used ni bei rahisi)

Nunua mazaga weka..

*Fungua Mapema
*Omba Mungu kila siku abariki biashara
*Songa mbele....
 
K

Kigorohe

Member
Joined
May 21, 2019
Messages
26
Points
45
K

Kigorohe

Member
Joined May 21, 2019
26 45
Anza ...inatosha ... ingawaje mimi nilianza na 1.8m cha msingi:

-Shelfu weka upande mmoja 100k
-kabati/meza simple 50k
-kodi
-mzani(tafuta used ni bei rahisi)

Nunua mazaga weka..

*Fungua Mapema
*Omba Mungu kila siku abariki biashara
*Songa mbele....
Asante na ubarikiwe sana
 
J

J.wawatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Messages
205
Points
500
J

J.wawatu

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2013
205 500
Kwa kuanzia inatosha sana ila ukomaye mwenyewe na usifanye matumizi ya hovyo, hakikisha pia liwe eneo lililo changamka!
 
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Messages
2,549
Points
2,000
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2013
2,549 2,000
Habari wana JF, naomba kufamu kama kuna uwezekano wa kufungua duka la bidhaa ya matumizi madogo madogo ukiwa na mtaji wa Tsh. 1,000,000. Mawazo yenu ni mhimu sana.
ANZA NA HIYOHIYO,
MAMBO YATANYOOKA MBELEMBELE.

NGALIZO:

USIANZE KUAJIRI MTU KABLA HUJAELEWA DIRA NA MWELEKEO WA BIASHARA-
NDANI YA WIKI MBILI TU
UTAPIGWA MTAJI WOTE HADI MAJI UTAITA "MMMAH!!!"
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,451
Top