Msaada: Mawasiliano ya kapunga rice project limited

NALO LITAPITA

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
333
90
Wanajukwaa,Tafadhali mwenye mawasiliano ya Kapunga rice project limited anisaidie,Hawa wanahusika na uzalishaji na kupaki mchele wako kijiji cha Kapunga wilaya ya Mbalali jijini Mbeya.

Nimejitahidi kusearch mawasiliano yao kwenye mtandao nimebahatika kupata namba fulani lakini naona haipatikani nadhani ni ya kitambo sana.Nitashukuru sana mkinisaidia hili wakuu.
 
Unawadai?
Hapana Mkuu,nataka kuzungumza nao nione jinsi naweza kufanya biashara nao,nahitaji kuwa nanunua kwao mzigo nakuja kuuza Dar es salaam.

Hivyo ninahitaji kabla sijasafiri kwenda huko nipate mawasiliano yao angalau nifanyenao mazungumzo ya awali.
 
Nakushauri uende ukikosa mawasiliano yao
 
Asante sana Mkuu,Naendelea kusaka mawasiliano yao.
Umbali wa kutoka nilipo mpaka Kapunga nauli haiwezi zidi 15,000 go and return.
kama kuna kuaminiana tuwasiliane nifike kukufuatia mawasiliano, kukupigia na kukutumia picha za bidhaa.
unaweza kuja inbox
 
Umbali wa kutoka nilipo mpaka Kapunga nauli haiwezi zidi 15,000 go and return.
kama kuna kuaminiana tuwasiliane nifike kukufuatia mawasiliano, kukupigia na kukutumia picha za bidhaa.
unaweza kuja inbox
Shukrani Mkuu,hii ni option nzuri zaidi.
 
+255 684 221 308 Nasser Mansoor

Huyu ni mwanasheria wao mpigie mwambie naomba unisaidie namba ya Sunil wa Kapunga .

Ukimpata Sunil utakuwa umekata kiu yao.
 
Umbali wa kutoka nilipo mpaka Kapunga nauli haiwezi zidi 15,000 go and return.
kama kuna kuaminiana tuwasiliane nifike kukufuatia mawasiliano, kukupigia na kukutumia picha za bidhaa.
unaweza kuja inbox
Mkuu,Nakushukuru sana sana kwa moyo wako wa kujitoa kwa ajili ya wengine.kwa hakika umeacha shughuli zako ukasafiri kwa ajili ya jambo langu hili.Hakika JF ni nyumbani.
 
Back
Top Bottom