mojax
Member
- Aug 18, 2015
- 13
- 23
ELIMU BIASHARA
UNAHISI HAUTAWEZA? ANZA NA ELFU KUMI LEO
Kuna watu tunatumia miaka Mingi sana Kulalamika hatuna mitaji, na hatutumii hata nusu ya miaka hiyo kujaribu ku-save ili tupate mitaji ya kuwekeza. Nakumbuka mwaka juzi nikiwa na rafiki zangu ikifika wikiend tukiwa Bar, tulikua tunapiga story za kuja Kujenga na kumiliki nyumba zetu simple na nzuri tu. Ila mwishowe hatujawah kupata hizo hela wala mitaji mikubwa tuliyokua tunaiimagine kwasababu tuliponzwa na kauli yetu moja, "Elfu ishirini (20,000) haijengi nyumba".
Ufanye mwaka 2016 uanze kuwa wa Mabadiliko. Je una jinsi ya kukufanya uweze kuhifadhi au kutenga elfu kumi (10,000) kwa siku? Yeah, focus kwenye elfu kumi tu kwa siku na sio 70,000 kwa wiki wala 300,000 kwa mwezi. Unaijua nguvu ya 10,000 kwa siku? Inamaanisha kwa mwezi utakua umesave 300,000 na kwa mwaka miez 6 unakua na 1.8m, usiniulize kwanin sijasema 3.6m kwa mwaka. Unajua unaweza fanya ninj na 1.8m uliyoipata ndani ya miezi 6? .
Nenda kanunue Mashine ya Juice ya Miwa ya Umeme kwa 1.2m, nenda kanunue mashine ya Bisi kwa 400,000, hiyo 200,000 inayobaki ndo hela ya mtaji wa vifaa vingine vya biashara. Juice ya miwa kwenye lokesheni nzuri kwa siku inakupa faida (net) ya 10,000 - 30,000, wakati Bisi inakupa 5000 - 15,000 kwa siku. Kwa maana rahisi, ukichukulia faida ya chini ya 10,000 na 5000 (kwa biashara zote 2) unatengeneza 15,000 kwa siku sawa na 450,000 kwa mwezi sawa na 2.7m kwa miezi 6. Gharama zake ni kukodi sehemu ambapo unalipia ushuru kwa siku ambapo ukishatoa ndo unapata hiyo Faida halisi. Bado Hujaelewa?
JIKUNG'UTE, JIPANGE, ANZA.
By Man Dea
Instagram and twitter follow: elimu_biashara