Soko kwa kwa wakulima wa Dengu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soko kwa kwa wakulima wa Dengu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Sanjara Honey, Jul 13, 2009.

 1. Sanjara Honey

  Sanjara Honey Member

  #1
  Jul 13, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 63
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 15
  Kama wewe ni mkulima au unamjua mkulima/wakulima wa Dengu tafadhari wasiliana nami.

  Nahitaji dengu aina ya TULIDALI tani 120 haraka sana

  Contacts:
  E-mail: sanjarahoneytz@gmail.com
  Mob: 0732-99-38-34
   
 2. L

  Lukundo Member

  #2
  Jul 13, 2009
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unatoa sh ngapi kama wekezo la kumhakikishia muuzaji atakaye kusanya haraka kama anafahamu zinapouzwa. toa ofa ya bei kwa kilo ya dengu husika, na tafadhari pia sema ununuzi huo utadumu kwa muda gani isije ikawa wazihitaji leo halafu kesho ukasema tayari zimetimia. pia sema ni njia ipi ya mawasiliano kuwaupdate watakaokuletea kujua kiasi ambacho bado unahitaji wasije wakaaleta kiasi cha tani 120 kumbe tayari muda huuu umeshapata tani 50
   
 3. Sanjara Honey

  Sanjara Honey Member

  #3
  Jul 13, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 63
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 15
  You talk sense Lukundo.
  Nitumie message kwenye 0732-993834 ili tuzungumze biashara
   
 4. Robweme

  Robweme Senior Member

  #4
  Jul 13, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe uko wapi mimi niko shinyanga sasa hivi, nina mtu ni mfanyabiahasahara ya dengu hadi tani 200, sijui kama uko serious nikutumie nikuunganishe nae,sasa hivi
   
 5. Sanjara Honey

  Sanjara Honey Member

  #5
  Jul 13, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 63
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 15
  Asanteni sana kwa wale mnaoendelea kuwasiliana nasi. Hakika JF ni rasilimali zaidi ya POKOPOKO. Shime tuitumie kujenga uchumi.

  Order hii ni kubwa, naomba wale ambao hatujawasiliana wasisite kuwasiliana nasi.

  [​IMG]
   
 6. Sanjara Honey

  Sanjara Honey Member

  #6
  Jul 13, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 63
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 15
  robwene,
  Sijawahi na sitafanya masihala hata siku moja katika suala la biashara kwa kutumia JF. kwa ufupi niko zaidi ya SERIOUS!

  Niunganishe na huyo mfanyabiashara kwa kunisaidia no. yake. Samahani, tumia 0732-99-38-34

  [​IMG]
   
Loading...