Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,271
- 4,544
Mwamba baada ya kukichafua sana route ya dar arusha sasa wameamua kuaminisia makali yao na route yao ya zamani ya Dar mbeya tunduma kwakweli hawa jamaa wana mwezi mmoja tu ndani ya hii route ila wameleta muamko mkubwa sana kwenye swala la huduma
Hakika wameleta chachu katika swala la huduma katika route hii ya dar mbeya na tunduma na kutunza muda na kuleta changamoto kwa kampuni nyingine kwenye hii route binafsi nawakubali sana hawa ndio maana nimeamua kuwajuza na wengine hasa tunaopenda huduma bora za kilimanjaro Express
DAR MBEYA TUNDUMA
Nauli ni 40,000 mbeya na Tunduma nauli ni sawa
Bites
Maji, pipi, soda, cake nk
Kwa mabaharia ni habari njema sana kwamba makonda wao wote ni vipusa... safari hapa ni mwanana..
Mawasiliano nimefanikiwa kupata y shekilango nikipata zaidi nitawajuza
Booking shekilango office 0752400026