Biashara ya samaki aina ya kamongo kutoka China

mzeemzima

Senior Member
Apr 14, 2010
122
78
Habari zenu wadau,

Naomba kwa watu wenye uzoefu kuhusu biashara ya samaki aina ya kamongo wanaoagizwa kutoka China anisaidie maelezo kuhusu vitu kama utaratibu mzima wa kufuata ili kuingiza samaki toka kununua China mpaka kutoa bandarini na kuanza kuuza, risks zinazoambatana na biashara na lolote lile jingine ambalo ni la kuzingatia.

Asanteni sana.
 
Mi nafahamu km wanatoka A.kusini na siyo China kwa maelezo zaidi nenda pale ferry muite mtu mmoja ambae anahusika na kazi ile kisha muombe muongozo wote juu ya hilo kwa kuhitaji taarifa sahihi unaweza kumpatia hata elfu5 ya kumpotezea muda wake ili akupe ushirikiano wa kutosha kwa maswali yako yote muhimu. zingatia unamtafuta mtu ambae ni muhusika halisi kwa shughuli hizo
 
Biashara nzuri kabisa

Ukishaimport unafanya kuwasambaza kwenye frames za wanaouuza samaki wabichi
 
Back
Top Bottom