Msaada kwenye tuta haraka

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Habari member wote naomba kujuzwa kuhusu Motor Hp 30 Je RPM ambayo ni speed yake ni ipi speed inafaaa kuendesha motor ya hp 30 kwani hapo ndio mtihani kwangu nataka kununua na je ipi zinafaaa maana za kichina zipo nyingi je jina gani la kichina ni nzuri


Pili msaada mwengine naomba msaada kinu changu size 75 na kukoboa rola tatu je size na speed gani ya motor ninunue

Nataka kuweka kowanda cha kusagisha unga naystar super sembe.

Mwenye mahindi aje hapa
 
Back
Top Bottom