Kagame kuleta ndege ya tano; Kikwete umeshindwa nini ATCL? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kagame kuleta ndege ya tano; Kikwete umeshindwa nini ATCL?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Pdidy, Aug 4, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  Wapendwa nilikuwa kigali last week kwa kweli kagame yuko sirias na uchumi wa nchi ile kwanza napenda kuwaeleza kule akuna takataka za rushwa wala umsaidie mtu upewe kitu..aisee jamaa amejipanga watanzania kilichonifurahisha ni kuona ndege tatu na ya nne niliokuja nayo nikiambiwa mwezi wa wa nane wanaleta B737-500.

  SIKUAMINI NIKAPEWA WEBSITE SASA NAONA TANGAZO LAO NA KUKIRI KWELI HUYU JAMAA ANA DHAMIRA NA NCHI YAKE...

  NAJIULIZA HIVI JK AMESHINDWA KULETA NDEGE ATCL AMA NI KUTOKUWA NA HAMU NA NCHI YAKO AMA NINI KINACHOMCUMBUA KUFANYA HHII KAMPUNI YA ATCL INAKARIBIA KUFA WAKATI UWEZO TUNAO ARI TUNAYO..

  NINI KAGAME ALICHOKUWA NACHO SISI ATUNA JAMANA...KWENU WATANZANIA MLIO MADARAKANI MPENI TAARIFA LABDA KUMMALIZIA 2011 WANALETA 737-800 MBILI LOH!!!


  The national carrier expects to take delivery of its second Boeing 737-500 within the month bringing its total fleet size to five aircraft, which includes two Boeing 737-500, two Bombardier CRJ and a Dash 8. The two new Boeing 737-800 from Boeing Commercial Airplanes are expected to join the RwandAir fleet in 2011.
   
 2. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2010
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Kagame ni mpenda nchi yake yaani mimi namwita mzalendo...kumbuka dataz za port alizompa JK baada ya Sullivan meeting...JK kabaki anashangaa.....waulize Wa Congo during Mzee Kabila era jinsi Kagame alivyo nyoosha Congo.....Mpeni Kagame bongo kwa muda wa miezi 6 tu naamini Bongo itakuwa Dubai ya Africa bila shaka yoyote
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,417
  Likes Received: 22,325
  Trophy Points: 280
  Kuingia Ikulu sio kazi, kazi ni nini unachoenda kukifanya?
   
 4. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Mpaka Ridhiwani apende,na usisahau Rwanda walikuwa vitani kwa mdua mrefu na hawana utajiri kama TZ ,sisi tuna bandari wakati Rwanda nchi yao imefungwa ,sisi tuna madini wakati Rwanda hatuna,sisi tuna viongozi wapenda rushwa wakati Rwanda haina,sisi tuna viongozi mafisadi wakati Rwanda hakuna ,ukiwa fisadi Rwanda hufanya kama China,wakati mkulu anapiga porojo za kila mwanafunzi kuwa na kompyuta mashuleni Rwanda hilo sio porojo ni kweli,wakati sisi tunakazania kiswahili Rwanda wanakazania Kiingereza na kifaransa(wa Tz tutabaki kupika chai maofisini).

  Wakati Rwanda wanaajiri ma Profesa toka TZ sisi tunawastaafisha ,mfano Pro Baregu wakati hao ma Profesa ni wachache,wakati wengi wa wataalamu wao ni vijana wasomi sisi wataalamu wetu ni wanasiasa wazee.

  Tafadhali ndugu usiifananishe Tanzania na Rwanda, Rwanda wako anga nyingine wacha tupige porojo za siasa na chaguzi ,hicho ndicho tunachofikiria kila siku.
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Si Kagame tu. Itoeni CCM mmpe mzalendo wa kweli hii nchi muone hali itakavyobadilika. JK ni puppet la America, kazi yao (CCM) ni kuwauzia wa-america na waarabu ardhi zenye madini na utalii.
  Nipeni hata mimi muone!!
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Wewe unamlinganisha KAGAME na MRISHO? wacha wanyarwanda wasonge mbele, sisi bado kidogo mpaka tupigane ili tuheshimiane
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  hilo nalo neno.
  I guess sisiemu wanataka hilo
   
 8. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  inauma sana
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Angalia wenzetu wanakopata ndege zao Boeing Commercial Airplanes....sisi tunaenda Bermuda sijui
   
 10. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kwani JK ana shida gani wakati akitaka kwenda New York anaruka tu na jet?Kasahau kabisa kama kuna haja ya kuwa na shirika la ndege,hiyo ATCL alikwishapeleka mtu wake akaimalizie baada ya kuwa mahututi.
   
 11. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Wakuu,

  Jana niliangalia documentary ITV na Imeratibiwa na A. Msemembo. Kampeni za Rwanda si mchezo. Kagame anatumia gari lake na escorts mbili gari za kawaida. Nilichoona zile gari mbili ni simple ndo wa natumia guards wake. Hii inamaanisha Kagame amefanikiwa kuipatia nchi yake amani; maana raisi kutembelea gari lake with out an armed forces ni dalili nzuri.

  Wazee wa mashati yakijani, wanaimba kila siku tuna amani ya kweli; hii ni uongo mtakatifu. Siku hizi msafara wake unakaribia kuwa kama wa Museveni. JK amebaki kuwa pappet wa America, anajifanya kuwa na urafiki na Bush; wakati wenye akili wanaelewa Bush anataka nini. Siju lini tutaacha kuwa inferior kwa wazungu.

  Solution, make sure 31st Oct 2010 you vote for the Dr. At least tupate zimwi jipya. Kenya wametoka. Referendum itabadili utawala wa nchi yao. Its not late for us!!!:nod:
   
 12. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,503
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Mzee Mfianchi!
  Unaweza kumfanya mtu ulie, siyo kwa sababu umekosea kusema, ila kwa sababu unaonge maneno ya kweli na yanayogusa mno
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  inauma nini?
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  wakati anapoingiza...huuyu jk huyu loh
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Alooo....:help:
   
 16. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2010
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,755
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye bold mdau.Una uraia wa nchi mbili?
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  awaseleze watanzania yale magari alioleta na mwenzake wakayaweka kwenye wadi zao na leo hii atcl inakufa 16 yameenda wapi??
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  nasikia hata zile mbavu mbili zilizobaki zinabadilishana spare kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jk???loh si yetu macho
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Aug 5, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  Kazi anayo kikwete wizi mtupu
   
 20. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #20
  Aug 5, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  As long as binamu yake Kawambwa atakuwa pale wizara ya miundombinu na katibu mkuu wake Chambo wizara itaendelea kuporomoka; pamoja na kuizika ATCL!! Alifanya makosa kumuondoa DR. Bukuku, he should have remained there as katibu mkuu kwani mambo yalikwisha anza kurekebika.
   
Loading...