Habari, karibu ndugu msomaji Leo tutaangazia kwa uchache namna biashara za kuunganishana ( biashara za mitandaoni kama wanavyoziita wao)
Hizi sio zile zakuuza bidhaa online kama wafanyavyo...
Ndugu zangu wapendwa nimeweza kuanzisha biashara ya spare parts za magari makubwa na madogo Nina ofisi Kinondoni B.lakini sina stock yeyote natafuta wateja na kusupply.Na nina wateja ambayo ni...
Wana jf.
Tangu kubarikiwa machinga kupanga bidhaa zao barabarani. Sasa imekuwa kufuru hadi sasa hakuna sehemu ya kupita zaidi ya kuonewa huruma na wenye magari yao wakikukwepa kama mpira wa...
Kuna sehemu nimesoma kuwa simu kwa maana ya mawasiliano inachangia asilimia sita ya pato LA taifa hivyo kunifanya niwe na shauku kujua vyanzo vyengine vinachangia kiasi gani katika pato LA taiga...
Aibu kubwa kwa nchi yetu inayoletwa na nyie nyie Airtel. Vodacom na Tigo kwa kukazania kuongeza minara Tanzania nzima huku mkiacha service yenu ikiwa mbovu kabisa. Huwezi amini kuwa ndani ya Dar...
Habarini za asubuh
Kwa watu walioko Dodoma nahitaji mkopo Wa mil.3 ninakiwanja cha futi 55/45 maeneo ya kizota mbuyuni kama dhamana na nimemaliza udom mwaka huu degree ya sheria
Naombeni...
Habari wakuu,twende katika hoja.
Napendekezo la kushirikisha wadau wenye mitaji kuanzia 50,000/- na kuendelea tuungane katika uwekezaji katika mradi wa nishati inayo tembea (mobile energy)...
Nimepita pale mbezi naona pilika pilika ukuta unainuliwa. Watalaam wengi walishauri kwa kuwa mbezi kuna nafasi kubwa pangejengwa exchange kubwa itakayo saidia magari yote toka kwa msuguli , na...
SERIKALI imeridhishwa na uwezo wa viwanda vya ndani katika kuongeza thamani ya korosho ya Tanzania, huku mpaka sasa tani 40,050 zimeshapakiwa kwenye meli tayari kwenda nje ya nchi kupitia Bandari...
Wakuu mwenye mawazo jengefu ya namna ya kufungua ofisi ya kutoa huduma za internet na photocopy, eneo la DSM.
1. Naomba kujua ni vifaa gani ninapaswa kua navyo?
2. Changamoto za biashara hio
3...
Habari wana jamvi,nimekuja kwenu kuomba USHAURI juu ya kuanzisha biashara ya kuuza vifaa vidogo vidogo vya machine kama mikanda(belt) ,engine oil na ring piston kwa mtaji wa 2.5M naweza kuanza ...
Habari za majukumu Nimejaribu kupita Alibaba kuangalia namna ya kununua bidhaa kwa bei ya jumla
lakini cha kushangaza gharama za usafirishaji zipo juu kuliko gharama za kununulia mzigo
Kama...
Wazee usalama upo ?
Ok mimi ni kijana wa miaka 24, nimemaliza chuo 2018 UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM (COSS) sikuwa na lengo la kuajiriwa baada ya masomo hivyo nikajiingiza kwenye biashara ya...
Poleni na majukumu wana JF, Natafuta soko la Limao
Lengo la kuanzisha uzi huu ni kushirikiana na mdau yeyote.
Kama wewe huko ulipo bei inalipa basi tushirikiane na nna uwezo kukusanya tenga moja...
Habari mwana au wana JF, baada ya masomo yangu shahada ya kwanza ya mawasiliano ya umma na uandishi wa habari nimeweza kutoka na utaalam fulani wa kuandika proposals mbalimbali.
Hapa karibuni...
Naamini wapambanaji wenzangu mpo poa!
Naomba kujua wale manguli wa zile kazi za promotion a.k.a Bounty Taskier or Bounty Hunter mnapokutana na mimi nipate kuongeza Bounty Hosts.
Kule Bounty Hub...
Viwanja mita 20 kwa 20 vinauzwa Kisarawe II Kigamboni vimepakana na barabara mpya iliyochongwa toka Kisarawe II kwenda Mwapemba, bei tsh 2,000,000/- tu, simu 0754295159. Unaweza kulipa nusu...
WanaJF natoa shukrani kwa mchango wa kuweza kunipa Elimu ya Mpesa Master Card hatimae nimeweza kufungua na kuinganisha na account ya PayPal
Jana nimenunua Simu aina ya nokia e63, nokia 301...