Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,010
- 6,766
Huduma imeondolewa bila taarifa.Nimeshindwa kufanya transaction muhinu. Airtel mnafeli wapi kutoa taarifa kabla ???
Imetokea Lin mkuu
hata sisi mawakala tulishindwa kufanya kazi kwa kweliUsiku wa kuamkia leo