Habari wana JF,
Kuna jambo ningependa kupata ufafanuzi hapa jukwaani, kwavile kuna watu wana uelewa mpana wa hili swala nnalotaka kuuliza,
Kwa mtu ambaye ameweka hela zake UTT mifuko ya Liquid na...
Kuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17... nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa.
Aliulizwa anafanya kazi gani...
Habari wana jukwaa, nauza Sweet na dry Red Wines kutokea Dodoma kwa ujazo wa Lita 1, Lita 3 na Lita 5...Lita 1 ni Sh.7000/=, Lita 3 ni Sh. 18,000/= na Lita 5 ni Sh.27,000/= (Bei hizi ni za reja...
Bilionea Mohammed ‘Mo’ Dewji , ametangaza kuwa yuko mbioni kuzindua Mfuko wa Ubunifu wenye thamani ya TZS bilioni 25 ili kuchochea mageuzi ya kiteknolojia nchini Tanzania na barani Afrika...
Habari ya humu Wana sogozi
Natafuta dispensary/health centre ambayo naweza kukodisha mashine ya ultrasound preferably ndani ya daresalaam. Machine ninya kisiasa with all accessories...
Habari wakuu.
Kwa alie na device (router) yake iwe ya Vodacom au Universal naunga bando hizi pre paid unlimited za Vodacom
Lakini pia kuna ambazo sio unlimited naunga pia.
Hizi nikikuunga...
1. Submeter ni nini?
Submeter ni kifaa kinachotumika kugawa au kupima matumizi ya umeme kwa mtu mmoja mmoja ndani ya jengo au eneo moja. Mfano: kwenye nyumba za kupanga, kila mpangaji anapata...
wadau kwema..?
Eh bwana kun mwenyeji yeyote wa maeneo nliyotaja hapo kwenye kichwa Cha habari?
Vip Kuna fursa zozote maeneo hayo ..iwe kilimo ama uvuvi ama biashara nyinginezo?
Ntashukuru...
Habari za wakati huu Wana jf
Niende mojakwamoja kwenye point, Mimi nipo mkoa x nataka kufanya biashara ya form six and round t- shirts za mtumba grade 1 ,mtaji wangu nilionao ni 400,000.Naombeni...
Proceed as follow
i>kwanini unafanya biashara unayoifanya?
ii>ungependa biashara yako iwe katika hali gani?
iii>unahitaji kitu gani ili kufikia malengo?
iv>vikwanzo gani unahitaji kuvivuka ili...
Habari zenu
Natafuta mshirika wa kufanya kazi pamoja katika kutoa huduma za elimu, ushauri, na huduma za afya kwa watu binafsi na biashara.
Nina polyclinic ya mtandaoni ambayo kwa sasa ina...
Naomba hapa wadau wenye utaalamu watupe shule kidogo. Kuhusu gharama za kuianzisha kiwanda kidogo.
Tuchukulie product kama sabuni za vipande au maji ya kunywa at very small scale unaweza anza na...
Kuna wanafunzi wawili wote wamesoma chekechea hadi form 6 Tz.
Moja kabaki Tanzania mwengine kaenda Uingereza, wote wanasomea degree ya usimamizi wa biashara
Kwao wana hali za kawaida, aliebaki...
Hellow mjasiriamali
Kama ujisajili jina la biashara brela Kuna kitu kinaitwa annual maintenance Fee, ngoja nikwambie hapa.
Brela wanakuhitaji wewe ulipie annual maintenance fee ya jina la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.