Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari ya humu ndani wakuu naombeni mwenye uzoefu na hii biashara aweze kuelezea kuhusu biashara ya simu na vifaa vyake, mtaji milioni 10 maximum.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Naomba kupata mwanga kidogo juu ya vigezo ambavyo nchi fulani duniani huchukuwa kuongeza thamani au pesa mpya katika mzunguko wa kiuchumi. Mfano, tuchukulie labda Tanzania hapa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Amani kwenu wana JF Mwenye uzoefu ama mwenye taarifa sahihi juu ya hii biashara * mtaji kiasi kwa kima cha chini mtu anaweza anza? * changamoto za hii biashara * soko lake ni wapi Natanguliza...
1 Reactions
10 Replies
10K Views
Wakuu kwanza natanguliza Shukrani na salamu kwenu, Mimi ninao mtaji wa shilingi milioni 3, nina ndoto za kufanya biashara ya mazao kutoka Mbeya kwenda Dar. Je, nini changamoto na kipi cha...
1 Reactions
20 Replies
10K Views
Habari wakuu, nimekuja hapa kwenu nina changamoto moja kubwa sana. Hasa katika kufanya miamala online, nimefungiwa na CRDB sijui kwa nini ila sitaki kujua. Maana kutuma naweza ila, kuingiza...
2 Reactions
37 Replies
6K Views
Habari zenu wana jamvi, Nimeacha ajira kwa hasira. Nimefanya maamuzi ya kipuuzi? sijui! Ngoja nianzie mbali kidogo kuwasimulia: Nilihitimu Shahada yangu ya Uhandisi mwaka jana na baada ya kukaa...
14 Reactions
98 Replies
14K Views
Habarini, Hiki kitendo cha watu kuweka hela zao benki pasipo kuzitoa kwa muda mrefu halafu benki wanakuwa wanazikata kwa kasi ya 4G wakati benki wanazikopesha kwa watu wenginebkwa riba siyo sawa...
9 Reactions
59 Replies
20K Views
JISHINDIE MTAJI WA MILIONI 10. Mtanzania aliyekataa mshahara wa milioni 400 Marekani (na mwanzilishi wa kampuni ya NALA) anatoa mtaji wa MILIONI 10 kwa mtu yeyote anayetaka kuanza ama kukuza...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada, ni vitu gani vinaitajika humo dukani? Kuanzia ni mtaji bei gani, na ni bora kuagiza mtandaoni au nje ya nchi? Je, ukinunua hapa hapa ndani na wewe kuuza faida zipoje?
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari za leo! Naitwa Edison Ernest nipo dares salaam, Mimi ninahitaji kujiajiri kwa kufanya biashara, mpaka sasa ninamtaji Wa sh,400,000 laki 4 lakini sijuwi nifanye biashara gani naombeni...
1 Reactions
2 Replies
747 Views
Habari zenu wana jamvi wenzangu. Tafadhali nina uhitaji wa hanger kwa ajili ya nguo za watoto. Kwa yeyote mwenye kujua chimbo kwa Dar tafadhali nifahamishe na ikiwezekana niunganishe na mhusika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Profesa Palamagamba Kabudi amewaalika wenzake kadhaa wa Kiafrika na Nordic kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Afrika-Nordic jijini...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Habar wana jamii wenzangu, Ninalolileta halijawekewa takwimu na vyombo vinavyojishugulisha na utafiti, Lakini ni maono yangu binafsi tu yanayofanya nione kama hivi. Jambo la kwanza lililofanya...
1 Reactions
2 Replies
785 Views
Kwanza namshukuru Sana kijana mwenzangu kwa kunipa mwanga wa maisha. Kupitia ONTARIO sasa natengeneza mil 7 hadi 10 kwa mwezi. Simjui ONTARIO na wala hanijui na sijawahi kumwona. Niliwahi kusikia...
57 Reactions
307 Replies
40K Views
TANZANIA sasa itaanza kuchenjua na kusafi sha dhahabu kwa ajili ya kuhifadhiwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa lengo la kulinda uchumi wa nchi. Usafishaji wa dhahabu ni moja ya hatua muhimu ambazo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WAFANYABIASHARA wakubwa wa korosho, wawekezaji na watafi ti 169 kutoka nchi 13 duniani zikiwamo nchi zinazoongoza kwa ununuzi wa korosho, India na Vietnam, wamekubaliana kuzuia uuzwaji wa korosho...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Lengo la uzii huu ni kueleweshana juu ya biashara za migahawa, changamoto zake, na jinsi ya kuzitatua. Na mpango wa kufungua mgahawa wa kuuza chakula naombeni ushauri wenu ni vipi vya kuzingatia...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Habarini jamani naomba kuuliza nani ambaye ana uelewa wa kusajili Local TV Channel
2 Reactions
11 Replies
2K Views
The value of goods and services rose by 5.2 percent to over $9 205.2 million by Sept this year according to the BOT monthly bulletin. Gold accounted for 48.6% …. ……. more below follow the link...
0 Reactions
4 Replies
998 Views
Jamani samahanini, mimi ni mgeni humu JamiiForums. Kwa sasa nipo Bagamoyo nimemaliza Advance mwaka huu lakini chuo nitaenda next year. Baada ya kurudi jeshi mujibu wa sheria, nimefungua duka...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Back
Top Bottom