project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,166
- 1,532
Habari wakuu naitaji ninunue Samsung a30 baada ya kuichoka hii tecno yangu nitapata wapi ya bei nafuu nipo arusha
Nitapata kama kwa shingapi hiviAggrey kkoo zmejaa
Habari wakuu naitaji ninunue Samsung a30 baada ya kuichoka hii tecno yangu nitapata wapi ya bei nafuu nipo arusha
Naweza kuipata mpya dukani kwa bei ganiIpo j7 pro ni simu nzur ksbisa.....
Kama 330k mpaka 300k uongeaji wako
A30s ni kama 600k na kitu
AggreyA 30 300k? Duka gani hilo
Nikikuletea kwa bei hio utanilipa nn?!We we mkuuu a30 kwa 33000
Kumbe hadi wakujue,vp ww wanakufaham? Tunataka tukutumie ww mkuuAggrey
Kuna duka moja la jumla palenndani moaka wawe wanakufahamu au umtumie tu wanaemfahamu ukienda hawakujui hauuziwi
Kuweni makini, huyo mtu muwe mnafahamiana vizuri, la sivyo kupingwa nje nje.Kumbe hadi wakujue,vp ww wanakufaham? Tunataka tukutumie ww mkuu
Ngoja ajeh hapa...Kuweni makini, huyo mtu muwe mnafahamiana vizuri, la sivyo kupingwa nje nje.
Huyo anaongelea a20Ngoja ajeh hapa...
Uwezo mdogo mkuu mi bajeti yangu ni mia tano tu
Kama 330k mpaka 300k uongeaji wako
A30s ni kama 600k na kitu
Aggrey
Kuna duka moja la jumla palenndani moaka wawe wanakufahamu au umtumie tu wanaemfahamu ukienda hawakujui hauuziwi