Kiwanda kidogo cha kusaga nafaka

Hamisi Mhoja

Member
Nov 22, 2019
22
23
Niliomba kufahamu Gharama za kuanzisha Kiwanda kusaga nafaka,Yaani Mashine ya kukoboa mahindi complete,mashine ya kusaga mahindi complete na Mashine ya kukoboa Mpunga.Naomba kujuia gharama na pia mawazo kutoka kwa wazoefu,Nipo igunga tabora
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom