Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wakuu, Naomba kujua namna ya kutoa pesa kwa anayetumia Broker huyu JP Market. Msaada tafadhal Joselela,
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Greetings everybody! Naomba nianze kwa kukuuliza? Are you struggling to get your first client on UpWork au Online freelancing platform nyingine yoyote? Kama jibu ni ndiyo basi leo nipo hapa...
16 Reactions
69 Replies
10K Views
Habari wapendwa, naomba ujuzi wa kutoa ya lebo ya kwenye chupa mfano Heineken na Windhoek ili nipate unafuu maana natumia muda mwingi kutoa na nachelewa kupata pesa wateja nawachelewesha.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika miezi nikiri wazi biashara hazilali mimi naonaga ni hii miezi,sehemu nyingi sana biashara hasa sisi tunaolenga wahitaji wa "kila siku" biashara zimechangamka sana sana, unajisikia raha hata...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kuuliza, wale jamaa wananunuaga simu used kutoka Marekani au China mara nyingi huwa ni Nokia, Sony, LG, Samsung huwa wanatumia mtandao gani? Kwa anayejua naomba anisaidie jina la hiyo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kifo kipo tu na hatupaswi kuogopa na kinachotakiwa ni kujiandaa na hicho kifo. Je ushawahi kuwaza au kujiuliza kwamba Huo mradi wako/biashara yako siku haupo duniani itakuwaje? Itasurvive kwa...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama wewe ni Msafiri sana wa maeneo mbali mbali na una lala katika Guest za kiafrika. Tutakubaliana kuwa karibu maeneo mengi nyumba vyao vina sabuni za aina moja kwa muundo na arufu/manukato...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Greetings Everybody. Kwanza kabisa leo nianze kwakusema huu uzi utaleta mjadala mkali kwahiyo nimekuja na Proof ili matomaso wote wajionee. Pia niseme sipo hapa kujionyesha. Lengo langu ni moja...
7 Reactions
75 Replies
13K Views
Habari za humu ndani washika dau wenzangu.ebana nataka kufanya biashara ya kuuza accessories za simu na laptop Je ni kweli zinalipaaa lakini na napenda kuifahamu biashara hii kiujumla inapoanzia
0 Reactions
39 Replies
12K Views
Changamoto kubwa ya watu wengi katika kuanzisha biashara ni mtaji. Kuanza biashara kuna mambo mengi sana, kuna kufanikiwa na kushindwa hivyo kuchukua mkopo banki wakati ndio unaanza biashara sio...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Msaada wa mtu yoyote ambaye ashafanya ama anajua mtu anayefanya biashara ya viatu vya mtumba kutoka Nairobi kuja bongo.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
First deals under continental free-trade pact planned for July Ma wants Africa entrepreneurs to be celebrated as ‘heroes’ Jack Ma, the co-founder of Alibaba Group Holding Ltd., said African...
1 Reactions
0 Replies
923 Views
Haya, salaam wandugu, Nilikimbia Commerce na Book keeping lakini kidogo nina nadharia kuhusu biashara ingawa ninaweza nisiwe accurate sana kwa hivyo mtanisahihisha ambapo nitakosea. Nimeandika...
2 Reactions
7 Replies
45K Views
Bakhresa aingiza boti nyingine ya Kilimanjaro VII leo.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais Magufuli Plea bargain agreement - working …….. Pay 800million shillings immediately, the rest within a year …. … .. Kuna watu walikuwa wanaliibia taifa hili pesa …… ….. No wonder JPM...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
SERIKALI Wilayani Kakonko Mkoani Kigoma imesema soko la mpakani la Muhange ni moja ya miradi ya kimkakati kwao katika kuondokana na umasikini na kuleta maendeleo ya kiuchumi kwa watu wake wakigusa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Biashara nzuri ni ile unayoifanya kwa moyo bila kushinikizwa na faida wala makundi ya rafiki yaani kuiga kutoka kwa marafiki. Vijana wengi hasa wahitimu sio kama hatuwezi kufanya biashara, la...
5 Reactions
4 Replies
3K Views
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Bw. Emmanuel Kakwezi amesema kwamba, moja kati ya mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha miaka minne ya Serikali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Greetings everybody. Leo ni siku nyingine tunakutana kwenye darasa la leo ambapo nataka nikuonyeshe ukweli mchungu ambao watu wengi wanajaribu kuukwepa lakini wasijue kufanya hivyo ni...
8 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa wanaojua gharama halisi za kuanzisha kiwanda cha kusindika matunda au kiwanda cha kutengeneza maji anisaidie tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
10K Views
Back
Top Bottom