Ni jinsi gani biashara ya samaki wa Mwanza (Sangara) inaweza kunipa faida?

kalisheshe

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
1,863
3,482
Habari zenu wakuu!

Naomba kuuliza Ni jinsi gani ninaweza kuifanya biashara ya samaki wa mwanza (sangara) inipe faida?

Na ni maeneo gani hapa nchini biashara hii inalipa?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom