Msaada wakuu kuelekea hekaheka za COVID19

palesh pizoo

Member
Apr 14, 2018
86
150
Kwa kawaida tunakuwa na mipango ya muda mrefu au kujiwekea malengo unayotaka kuyatimiza baada ya muda fulani.

Binafsi nilikuwa na mpango wa kufungua saloon ya kike mwezi Aprili mwanzoni kabisa na mipango yangu nashukuru Mungu kajalia mipango ya mtaji imeenda kama ilivyopangwa ila shida ni kwamba nahofia hili sakata la kufunga baadhi ya taasisi, biashara, mashule na kadhalika.

Je nikifungua biashara yangu kwa sasa haiwezi kuleta shida, msaada wa mawazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
9,224
2,000
jipe siku thelathini ukiona shule vyuo vimefunguliwa endeelea na mipango yako
 
Top Bottom