Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nimepata ajira huko kutoka kwa taasisi fulani, naomba mnielezee fursa zilizopo ili nikatia kambi huko nipate namna ya kujiongezea kipato. Nawasilisha.
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Je, naweza kufungua akaunti online via smartphone in kwa Tanzania bila kwenda bank?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sijui kama nawaza sawa au lah. Mimi naona kuwa mikataba au kipindi kilichowekwa mtu kufanya kazi mpaka kustaafu ni adhabu ikiwa hutaweza kujipa tafsiri binafsi. Nilibahatika kupata ajira yangu ya...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Jana katika pitapita yangu mitaa ta Kinondoni ninekutana na dada mmoja wa kichaga ambaye tulikua tunafamiana kwa muda mrefu. Baada ya salamu na stori mbili tatu kuna vitu akaanza kufunguka kuhusu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wakulungwa. Naomba kujuzwa. Mfano nataka kuchukua gari ambayo m'miliki wake ni mtu wa Uganda na gari ina usajiri wa Uganda. Je, utaratibu umekaaje kama nikitaka kulichukua na kulileta...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa rate ya leo ya kuuza na kununua fedha hizo za kigeni ni kama ifuatavyo 1. USD inauzwa kwa shilingi 2317 na kununuliwa kwa shilingi 2354 2. Euro inauzwa kwa shilingi 2580 na kununuliwa kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Tanzania ! Kwa yule ambaye anataka wazo rahisi la biashara na kikubwa kwake ni pesa, nakushauri fungua kiwannda bubu eneo au mahali au nyumba unayoishi ujizalishie bidhaa ya sigara ungize...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Kama kuna benki yenye kiwango cha chini kwenye ubunifu basi NMB ni moja wapo! Wakati benki zingine zikiwa zimeshaachana na lile sharti la kung'ang'ania mfanyakazi anayetaka mkopo lazima mshahara...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Habarini wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni kijana mtanzania nina wazo la biashara la kufungua kampuni ya usafi. Niko Mwanza jiji nahitaji mtu wa kushirikiana nae kufanya naye...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za jumapili wapendwa, Yna2 Leo nimewaletea somo la kujifunza namna ya kutengeneza dawa ya kusafishia marumaru. MAHITAJI -hydrochloric acid Lita 10- kazi yake kuondoa uchafu sugu ulio...
7 Reactions
32 Replies
9K Views
Wadau Kwenye Biashara jana nilivyokuwa natoka chimbo langu la mishikaki mwanangu mmoja alini-Invite tukutane. Jamaa ameniambia anataka kuanzisha Startup Company mimi niwe Co-founder wa Startup...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari zenu wadau. Nimekaa hapa naotea jua nikiwa nachezea chezea simu instagram nisipitwe na nani kamwambia nani nini na amejibiwa vipi kama ilivyozoeleka. Sasa nimeona kidogo niingie kuperuzi...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari zenu naomba kujua bei za hizi mawe please mtalamu au yeyote anaye jua bei aniambie hasanteni Imperial topaz Amethyst, and green Amethyst Green garnet Ruby
0 Reactions
31 Replies
18K Views
Wakuu naomba mnijuze kuhusu kodi za kuimport magari na kiasi chake,kwa gari ya 1500cc 2004 Ninachojua mimi ipo ile ya TRA (3M approx kwa gari hiyo) Je kodi nyingine ni zipi na approximately...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
''Airtel Tanzania has announced an 85 percent drop in its mobile data price from TZS 40 per megabyte. MD George Mathen, said customers' daily data patterns have increased recently and it is...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu zangu, hasa wale wanacheza michezo ya kubahatisha, kampuni hii ya Betika ni matapeli lakini Bodi ya Bahati Nasibu bado ina wacheki tu. 1. Kampuni inaruhusu kudeposit tu! Hata milioni we...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana JF. Nahitaji kujua Bureau de Change yenye rate nzuri kwa maeneo ya Kariakoo mpaka Posta, nina dollar zangu kadhaa kama 348$ nahitaji kwenda kuzichange siku ya leo. Naombeni kujua...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hello there, It is a well known fact that success is everyone's desire. But like i will always say, success doesn't come just because you desire it. There are prices you pay, sacrifices you...
6 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari ndugu. Naulizia zile nyloni ambazo hutumika kwenye mabwawa ya samaki. Zinapatikana wapi na bei yake ikoje? Mimi niko Dar
1 Reactions
1 Replies
815 Views
Kwenu great thinkers, hapa Naitaji michango ya mawazo yenu namna ambavyo tunaweza kulitumia wazo la mchina katika shughuri zetu. Mchina ametumia fursa ya kuwasambazia Bonanza wahitaji halafu yeye...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom