Kampuni ya wakenya, Betika yaendelea kutapeli watanzania

NOKIALUMIA

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
396
275
Ndugu zangu, hasa wale wanacheza michezo ya kubahatisha, kampuni hii ya Betika ni matapeli lakini Bodi ya Bahati Nasibu bado ina wacheki tu.

1. Kampuni inaruhusu kudeposit tu! Hata milioni we deposit ila kutoa hela hairuhusu hata siku moja.

2. Hairuhusu withdraw yoyote ile hivyo ukiweka fedha hata ukachezaa ujue huwezi kuitoa hata iwe elfu moja haitoki inabaki kwao.

3. Poor customer care, ukipiga tu simu wanakudanganya, halafu wanakuwa wakali ukionesha kutoelewa jibu flani.

4 . Wanamasoko mazuri ili wakukamate.

Mnao beti au kubashiri acheni mara moja kutumia kampuni hii mnatapeliwa

Serikali iingiilie kati hawa ni DECI MPYA.
 
Lol
20200713_104751.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom