Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,627
Habarini wakulungwa.
Naomba kujuzwa. Mfano nataka kuchukua gari ambayo m'miliki wake ni mtu wa Uganda na gari ina usajiri wa Uganda.
Je, utaratibu umekaaje kama nikitaka kulichukua na kulileta huku Tanzania na kuja kulisajiri niendelee na matumizi kama kawaida?!
Ni gari ya kutembelea tu ya kawaida SUV Rav 4.....