Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,402
- 58,951
Habari za jumapili wapendwa,
Yna2 Leo nimewaletea somo la kujifunza namna ya kutengeneza dawa ya kusafishia marumaru.
MAHITAJI
-hydrochloric acid Lita 10- kazi yake kuondoa uchafu sugu ulio kwenye marumaru
-maji lita30
-sless au sabuni ya maji lita1-kuleta povu kwenye dawa yetu
-perfume vijiko 6 vya chakula- kuleta manukato kwenye dawa yetu
-pipa au ndoo
-rangi ukipenda vijiko 2 vya chakula
-usisahau gloves..mask ya pua..buti
JINSI YA KUTENGENEZA
Andaa mazingira yako yawe masafi. Tayarisha pipa au ndoo/beseni yako. Anza kuweka maji lita30, ikifuatiwa na hydrochloric acid Lita 10, ikifuatiwa na sless au sabuni ya maji lita1, perfume na rangi kisha koroga kwa dakika 15.
Dawa yetu itakua tayari
Nimemaliza.