Nahitaji mtu wa kushirikiana nae biashara ya Brokers na debt collection

breaky

Member
Aug 29, 2013
79
25
Nahitaji mtu wa kushirikiana naye kwenye biashara ya Properties management, land & house brokers, Debts Collection.
Awe Arusha na mwaminifu.
N.b. kampuni tayari ipo
 
Siku ukihitaji mtu/mfanyakazi mwingine mwenye hasa sifa hivi mvumilivu, muaminifu, mchapakazi, nijulishe PM nikupe mtu mfanye kazi... Anauwezo kufanya kazi popote pale atakapohitajika...
 
Habari wanajamvi....?
Hii ni habari njema kwa wafanya biashara wenye maduka makubwa,kati na madogo yenye uhitaji,,,,

Kampuni yetu pendwa ya NEXIS tunapenda kuwataarifu kuwa tunawakaribisha ili muweze kununua software system kwa gharama rafiki ambayo itaweza kukusaidia kufanya record ya mahesabu kwenye mauzo ya duka lako pasipo na usumbufu na kuweza kukupa mahesabu sahihi ya stock yako iliyopo kwenye duka lako ,yaani itakusaidia kujua total ya mauzo yaliyofanyika kwa siku na pia inakuwezesha kujua stock iliyobakia kupitia computer yako iliyopo ofisini vile vile tunaweza kukuunganisha direct kupitia smart phone yako...
PoS system ni program yenye ubora zaidi na ni program rafiki kwa mfanya biashara kujua stock ya biashara yako kwa ujumla ..

nachukua fursa hii kuwakaribisha sana
kwa mawasiliamo zaidi piga 0692449416
images.jpg
images%20(3).jpg
images%20(2).jpg
images%20(1).jpg
 
MWENYE KUHITAJI SAJILI KAMPUNI KWA HARAKA NA BEI NZURI
-jina la Biashara
-limited caompany
-partneship
N.k.

TUKO NA UZOEFU WAKITOSHA

Wasiliana nasi kwa # 0788104228

USHAURI NI BURE
Huduma nyinginezo ni pamoja na
- Kuandaa Hesabu za Kampuni
- Kuandaa Memorandum
- kuandaa Tenda
-VIZA za safari

Popote ulipo TANZANIA tunakupa huduma.
 
Back
Top Bottom