chongoe
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,223
- 2,978
Mimi nimewahi kuleta uzi hapa kuhusu ya kwamba natafuta mtu ambae atakuwa tunafanya biashara ya nazi.
Kweli nilipata mtu amenambia yupo sokoni Ilala ila sina hakika; mara ya kwanza nilimpekea nazi kwakuwa mimi mwenyewe nahodha kwenye jahazi nikachukua nazi Mafia zilikuwa mia tano, nikafikisha mpaka Kisiju nikapakia kwenye gari nikamuelekeza azifaute Mbagala.
Kweli jamaa kafuatilia akazipata nazi, sasa tokea alipozipokea, jamaa nikipiga hapokei simu.
Mimi nilifanya kwa imani tu, sasa jamaa kaamua kudhulumu.
Sina muda wa kumfatilia kwa sababu kazi zangu kutwa nipo baharini ila huyu jamaa najua yupo humu. Namwambia nitachomfanya, labda mimi sio kwetu Mafia atajuta.
Mwisho: Jamani tuwe makini