Nini cha kuzingatia nikihitaji kufungua maabara ya afya?

Nini cha kuzingatia nikihitaji kufungua maabara ya afya?

Dashdown

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
403
Reaction score
446
Habari za muda huu wana jamvi!

Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada ,naomba kuelekezwa vitu vya kuzingatia na vya msingi ninapohitaji kufungua maabara ya afya nikiwa sijasomea kada yoyote ya afya.

Nawasilisha kwenu
 
Back
Top Bottom