Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Biashara ya upatu ni biashara inayo kuwezesha kuinvest katika digital platform na kujipatia kipato zaidi kulingana na juhudi zako huku mtaji mkubwa ukiwa ni bando lako na charji kupitia smartphone...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Hi Team am looking for a serious Business Partner who is ready partner in business that am thinking to start with immediate effect. The partner must be able and have patience in doing business...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nawasalimu waungwana. Nimetenga kiasi cha pesa 10m niweze jiajiri kwa kuuza vitu vya ndani kama ma carpet, ma duvet, mito, mapazia like kama unavyoyaona maduka ya home shopping center. Nachoomba...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Za jioni wakuu. Nahitaji kufungua akaunti ya dollar Equity Bank ila sijui gharama zao, nilikuwa nahitaji muongozo kidogo kuhusu vitu vifuatavyo. Gharama za kufungua akaunti. Makato ya mwezi. Ni...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari wana ndugu kwa sasa nawashauri kama una fedha na muda wekeza kwenye kilimo cha Kahawa Mbinga Moshi au Morogoro kilo 9000 mpaka sasa ninavozungumza. Cha pili mahindi gunia sasa ni 100,00...
1 Reactions
44 Replies
9K Views
Kuna Kituo cha Mafuta inajengwa karibu na Shule ya MOSHI fountain, iliyopo MOSHI BAR - MOMBASA -UKONGA Wilaya ya Ilala. Sheli ipo mbele nyuma kuna shule hii imekaaje kwa afya za hao watoto...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za wakati huu. Kwa yoyote anaeweza kunipa elimu kidogo ya Soko la Hisa Dar es Salaam jinsi yakununua hisa na namna unavyo pata faida au hasara. ====== Unashauriwa kusoma>>> UCHUMI: Hisa...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau wa JF, Naomba kujua changamoto za kuanzisha biashara ya kuuza na kununua asali hususan masoko ya ndani na nje ya nchi-vile vile namna ya kupata mikopo ya muzinga ya asali. Sent using Jamii...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wadau, naomba kujua namna ya kutoa pesa kwenye benki zilizofungiwa ikiwemo Meru Bank Community
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ulishawahi fanya biashara ya kuexport bidhaa nje ya Tz. Njooni hapa mtoe uzoefu vijana wajifunze kutoka kwenu.
4 Reactions
23 Replies
6K Views
Hivi mtu aliye soma marketing course kwa kazi yoyote ile anaweza kujiajilije yeye kama yeye kwa kile alichojifunza chuoni au ability yake ya kufanya mambo according kwa knowledge yake.
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Hallo my friend I want to ask. Hivi biashara ya bar inalipa Dar es salaam? Nataka kuweka bar Dar es salaam. But I’m not living there. Nataka tu kuwekeza. Sasa sijui kama inalipa vile.
3 Reactions
31 Replies
9K Views
Jamani kwema leo nikuja kitofauti kabisa. Mimi ninapenda kufanya biashara, sijaajiriwa ila nimejiajri kupitia taaluma yangu(...) Lakini pia nina biashara ndogo ya duka lengo nikubusti maisha...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu, Vijana wengi wanaoanza business hapa Tz naweza sema hawana idea biashara ni nini hasa. Nikisema hivyo baadhi wanashangaa. Wengine wanakasirika. Kwasababu wanaona kama vile “bright...
36 Reactions
42 Replies
10K Views
Habari wanajamvi nimefanya utafiti juu ya baadhi ya uzi humu JF ambazo zina husiana na biashara kutoka Uganda nyingi ni za mda. Naomba kama kuna mtu yoyote anaefanya biashara ya kununua vitu...
2 Reactions
17 Replies
10K Views
Habari. Naombeni ushauri nifanye nini niko nje ya nchi nafanya kazi kiukweli nashindwa kutegemea mshahara kwa sababu unakua na kiwango cha ukomo naona kama unanilimit kufanya mamb yangu na...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Wakuu Salaam, Baada ya saving za muda mrefu nimefanikiwa kununua kagari kadogo ambako nataka nikasajili kwenye biashara ya Uber. Nimeshasikia kuwa kuna utaratibu wa hesabu ya siku au Mkataba...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Huku kwetu Buzza mpaka Kwamtogole ukiwa na smartphone unajiunga na Instagram unatangaza uwezo wako wa kitu chochote unachoweza kufanya. Shughuli isiyohitaji mtaji mkubwa ni kufanya kazi za ndani...
5 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF naomba kuulizia ni kampuni au ofisi ipi yenye uwezo wa kufanya Marketing na promotion ya bidhaa kama ya mafuta ya kula wawe wamesajiliwa na wana uwezo wa kutoa document za risiti, proforma...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ujana ni maji ya moto na uzee ni maji ya baridi na ikumbukwe uzee ni usiku. Wakati natafakari maisha yangu huku nikiwaza kesho yangu imenilazimu niwaze mbali kwaani kuwaza karibu ni sawa na...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom