Natafuta Mshirika kuanzisha Daycare & Nursery School Dodoma

Kuwa na wazo tu haitoshi. Ungetuambia mpaka hapo ulipo una nini! Kama una eneo tayari, una mtaji wa kiasi gani, na huyo mshirika ulitaka awe na sifa zipi!

Pia hiyo njia ya Dm (PM) siyo rafiki kwa kila mjumbe humu. Kuna members wengine wanaingia tu JF kama Wageni kwa lengo tu la kusoma taarifa na kukusanya madini mbalimbali! Na hivyo kukosa sifa ya kukufuata huko Dm!

Kama vipi weka na mawasiliano yako. Namba ya simu, email, s.l.p....! nk.
 
Ushauri mzuri naupokea.

Sina chochote nilichoanza kwenye hili wazo hatua yangu ya Kwanza ni hii yakutafuta mdau mwenye mawazo Kama haya tujipange kwa pamoja Mimi na yeye kufanikisha wazo hili linakuwa reality.

NB: Akiwa ana taaluma ya uwalimu ni vizuri na vizuri zaidi akiwa hajaajiliwa.
( Hana kazi) na awe Dodoma Mjini.

Namba ya simu kuweka hapa hadharani it's to risk..
 
Back
Top Bottom