Naomba muongozo kwa waliowahi kufanya manunuzi mtandaoni kupitia Kikuu Shopping Mall

Luther760

JF-Expert Member
Feb 17, 2019
316
240
Wakuu natumai mko poa kabisa, kwa wale wadhaifu Mungu atawaponya. Kama kichwa kinavyo jieleza naomba kujuzwa kama member amesha wahi fanya manunuzi yeyote kwa njia hii. Utaratibu wake ukoje, maana nimeiona products zao nyingi ni cheap sana please mwenye ufaham na hii app atujuze, tusije tukaingia mkenge. Narudisha shukrani.
 
Unachagua bidhaaa na kulipia kwa tigo pesa au mpesa alaf unapokea mzigo wako ndani ya wiki mbili. Kila mkoa wana mawakala, kabla hujalipia ulizia umfahamu wakala aliye jirani nawe maana ndipo utapokelea mzigo wako.
Kazi ni kwako
 
Many thanks mkuu

Back
Top Bottom