Jinsi ya kupata passport ya nchi za Afrika Masharki

Nenda uhamiaji mkuu, Mambo yote yako pale na ndio watakao kupa taarifa ya uhakika. Au unataka ya vodafasta?
 
Natumai utapata mwongozo na iyo 20 utapewa control namba ukishamalza kujaza fom utalipia wataipitia fom yako then utakuja kulipa 130
Screenshot_20210625-210146.jpg
 
Back
Top Bottom