Mawasiliano kupata gawio la Nicol

Mawasiliano kupata gawio la Nicol

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
880
Reaction score
909
Nimeona tangazo linaloeleza wanahisa kupata gawio. Sikulipata vema tangazo hilo na sikuweza kuandika mawasiliano yao. Naomba nisaidiwe kupata mawasiliano yao ili nidai gawio langu.
 
Nimeona tangazo linaloeleza wanahisa kupata gawio.
Sikulipata vema tangazo hilo na sikuweza kuandika mawasiliano yao.
Naomba nisaidiwe kupata mawasiliano yao ili nidai gawio langu.
Ingia kwenye website yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom