Wachina waje kuwekeza nchini Tanzania?

Wachina waje kuwekeza nchini Tanzania?

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,664
Reaction score
8,285
Wakuu Habari ya Machweo, haya mambo wala siyo ya kusimuliwa. Wachina wameuwa uchumi wa Zambia baada ya kukausha Zimbawe.

Hao jamaa Wamejenga Economic Zone Ukanda wa Copperbelt waliahidi kuweka viwanda badala yake wanasomba makontena ya bidhaa zao kuleta Zambia.

Baada ya hapo wanahamisha thamani ya Kwacha kupitia exchange rate na kupeleka China. Kwacha kwishnei. Tuweni Makini na hawa Wachina Wakuu.
 
Na Madai ya wananchi tujue kila mstari.... 3-4 bullet points tosha.
  • Win/win assured?
  • Sovereignty assured?
  • How long is Terms?
  • Who is financing?
 
Mama Samia asipokuwa makini na hili kwa kweli ataiua nchi yetu....I hate ukaribu wake na Kikwete kwa kweli. Kikwete alikuwa one of the useless President Tanzania has ever had, yeye alibidi awe mwimba taarab kama Mze Yusuf ila si rais na ndiyo maana nchi ilimshinda eti leo anakuwa tena mshauri wa Mama Samia, tutaangamia sasa hivi.
 
Na Madai ya wananchi tujue kila mstari.... 3-4 bullet points tosha.
  • Win/win assured?
  • Sovereignty assured?...
Kwanini tusiwekeze wenyewe kwa kukopa kama huo mradi kweli unatija, ili tujihakikishie uhuru wetu,
 
Wachina siyo kabisa si watu wazuri muda utaongea. Kwenye nchi zote walizowekeza hakuna hata nchi moja ya kutolea mfano, kote wamesababisha majanga.
 
Kwanini tusiwekeze wenyewe kwa kukopa kama huo mradi kweli unatija, ili tujihakikishie uhuru wetu,
Viwanda 600 pia unajikopesha au tunaweka vyarahani 1800[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Wachina siyo kabisa si watu wazuri muda utaongea. Kwenye nchi zote walizowekeza hakuna hata nchi moja ya kutolea mfano, kote wamesababisha majanga.
Sidhani Kama Ipo Mkuu Nadhani Tutoe angalizo kwa Negotiating team na watakaosimamia implementation, hili angalizo linalotokana na experience ya nchi mbalimbali ni muhimu sana sana. I guess we should take his concerns positively in either decision.
 
Viwanda tunawaachia wao, yetu ni Bandari
Kama Huyo Mama angepata consultant ya Western hasa toka nchi kama Uk au nchi za Scandinavia wangeweza kumshauri vyema.
Tatizo watu wetu wanapima nguvu ya upepo ili kujua mwelekeo.

Walio mshauri Magufuri walishaona msimamo wake. Sasa watanzania wakitaka kukudanganya wanakusifia kwanza. Wakiona umeshiba sifa wanakuchomekea.

Hawa ni watu wa ajabu sana. Sijawahi kuona nchi ambayo ina watu waongo na wanafiki Kama Hawa. Mwaka Jana walipanga Magufuri awe Rais wa milele alipokufa tu. Wakasheherekea! Do siyo watu wa kawaida.
 
Tunatakiwa kukaa nao mezani,tukisha kubaliana ndio tunaingia nao mikataba,kama hakuna muafaka wanarudi kwao...
 
Mama Samia asipokuwa makini na hili kwa kweli ataiua nchi yetu....I hate ukaribu wake na Kikwete kwa kweli. Kikwete alikuwa one of the useless President Tanzania has ever had, yeye alibidi awe mwimba taarab kama Mze Yusuf ila si rais na ndiyo maana nchi ilimshinda eti leo anakuwa tena mshauri wa Mama Samia, tutaangamia sasa hivi.
Unataka asiwe karibu na JK ili awe karibu na nani? Mkapa? Au magufuli?

Rais ni lazima apate mawazo kutoka kwa watangulizi wake na jk ni mmoja wao!
 
Kama Huyo Mama angepata consultant ya Western hasa toka nchi kama Uk au nchi za Scandinavia wangeweza kumshauri vyema. Tatizo watu wetu wanapima nguvu ya upepo ili kujua mwelekeo. Walio mshauri Magufuri walishaona msimamo wake...
Na zaidi ya hapo hiyo Bandari kuwa na hiyo turnover , sio kitu cha miaka 5 , ni kitu cha muda mrefu hivyo tunaweza kuanza na ghati chache huku tukiongeza jinsi biashara inavyo endelea. Na pia miundo mbinu mingine ikiwa inawekezwa kama hiyo SGR
 
Mkuu Ni Kwamba JPM alikuwa misleded??
 
Tunatakiwa kukaa nao mezani,tukisha kubaliana ndio tunaingia nao mikataba,kama hakuna muafaka wanarudi kwao...
Tatizo la wachina wakishadhamiria kitu huwa hawashindwi, ni wazuri sana wa kutoa rushwa na wanawajua vizuri sana viongozi wa kiafrika ndiyo maana spika alipotembelea China na aliporudi akaanza kuwatetea kwa nguvu zote.
 
Back
Top Bottom