Kutokana na harakati za uchaguzi na matokeo nafikiri sasa ni wakati wa kuendelea na maisha. Ni lazima tukubali kwamba Tanzania ni kubwa zaidi ya tofauti zetu za kisiasa na kwamba pale...
Vijana wengi tumewekeza sana wenye social networks kama facebook, instagram, na kwningine. Ila kuna mtandao huu wa ma experts na connection za kazi ambao ni wachache wanaoutumia vizuir, Linkedln...
JENGA IMANI/UAMINIFU.
Biashara, hivi sasa zinahamia katika digital platforms. Kuna majukwaa mengi ambayo wateja wanakutana na wauzaji na kufanya biashara bila kuonana.
Mifumo hii imeongeza...
Naomba msaada wa taarifa kwa anayejua bei za madini yafuatayo ya vito kwenye soko la hapa nchini tanzania. Nahitaji bei za Emarald, Blue sapphire, green tourmaline, Aguamarine, Zircon, Red...
Kwa Tanzania ukiwa na Biashara ya huduma unaonekana kuwa Huna Biashara. Mpaka Uwe na Bidhaa za Kushika mkononi kama nguo,Kalamu,majembe,nk..Hapo Ndo unaonekana kuwa MFANYABIASHARA. Hiki kitu Siyo...
Wakuu habari za muda huu,
Leo nilipata wasaa wa kwenda sabasaba pale nikitarajia nitakuta maonesho yenye tija yanayoendana na kasi ya kauli mbiu “uchumi wa viwanda na biashara endelevu”...
SIAGI YA KARANGA (Groundnut butter/Peanut butter🔥🔥
1kg ya Karanga hutoa 900g ya (siagi) butter. Katika masoko ya ndani, 1kg ya butter ni tsh 6500_7500/=
Gharama za uzalishaji
Karanga: tsh 2000...
Salaams Great Thinkers,
Mimi ni ndugu yenu muangaikaji wa kutafuta 'financial freedom'. Nimeajiriwa na serikali tangu mwaka 2007 hadi hivi sasa naendelea na ajira ya serikali na kituo changu cha...
SIKU vijana tusio na ajira zisizotusaidia tukiamua kutoa ubishoo wa kukaa kwa mashemeji zetu Dar na kuamua kwenda mikoani kutafuta mashamba na siku serikali ikiamua kutufata huko shamba na...
Karibuni wadau kwenye link hiyo hapo juu..Mfumo wa Taarifa za Biashara.
Kupitia mfumo huu utaweza kupunguza muda wa kupata vibalimbalimbali, kupata masoko yalipo ndani na nje,kukutanishwa kwa...
Jamaa alipata kiwanja Mbezi Beach siku nyingi sana. Kazini alikua anafanya kazi kwenye mradi wa Danish, alikutana na mke wake hapo. Walienda kuishi wote Denmark baada ya mkataba wa mke wake...
Wakuu kwema natumaini mko salama
Lengo la uzi wangu huu ni kutaka kuuliza na kufahamishwa nawezaje kuingiza pesa mtandaoni kupitia simu au laptop.
Nimekuwa nikisikia sana wadau wengi...
Baada ya kupambana saana na Maisha ya ajira, nikafikiria nitafute namna ya kuingiza kipato kingine. Akili ikanutuma shambani kweli nimeingia shambani na Hali siyo mbaya. Wazo likaja tena niachane...
Habarinj wanajamvi,
Nimekaa nakuwaza nifanye biashara gani, baada ya kupata baadhi ya aina ya biashara ambazo naweza zifanya nikiwa hapa moja ni ya Kununua na Kuuza Plastiki ama Makopo...
Tangu maonesho ya 2021 SabaSaba yaanze hapa Kilwa Road Dar es salaam hapa kwenye Banda la Karume wafanyakazi wa TANTRADE wanachelewa sana kufungua mabanda/Maholi makubwa wanafungua saa nne au saa...
Habarii JF.
Mimi ni mwanachuo,lakini kutokana na hali ya maisha ya sasa nimeona nijitafutia kitu kidogo ambacho kitanipa msingi mara nikihitimu masomo yangu
Kwahiyo nimepata wazo la kumiliki...