Kuanzisha GENERAL CLINIC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuanzisha GENERAL CLINIC

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Short white, Apr 29, 2011.

 1. S

  Short white Senior Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Salaams Great Thinkers,

  Mimi ni ndugu yenu muangaikaji wa kutafuta 'financial freedom'. Nimeajiriwa na serikali tangu mwaka 2007 hadi hivi sasa naendelea na ajira ya serikali na kituo changu cha kazi ni one of the hospitals in DSM.

  Kitaaluma ni Medical Doctor ( GENERAL PRACTITIONER).

  Kwa jinsi nionavyo muelekeo wa maisha wa sasa katika fani sivyo ninavyotaka kuendelea kwa hiyo nahitaji kubadili muelekeo kwa gharama yoyote.

  Nahitaji kuendelea na kazi ya kutibu lakini si kuendelea kuajiriwa. Kwa maana rahisi ni kwamba nahitaji kujiajiri katika fani. Yaani nahitaji kuanzisha General Clinic in town.

  I have been thinking strategically- where I am; where i want to be ; and how to get there ( action plan), lkn bado sijapata jibu sahihi namna ya kuanza na kufika safari ninayotaka kuianza.
  Naomba ushauri wakuu.

  Nawakilisha.
   
 2. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mkuu do you have any starting capital? Is it a must to plant that source of income in town? Don't you think Dar outskirts may be better?

  If you don't have any capital do this; Try to fish around for any nice pharmacy which has enough space. Talk to the owner mwambie hivi. You would like to outsource his pharmacy lakini mtu wake ndio atakua anauza dawa.

  Sasa whenever you meet a patient you charge your customer accordingly. NB: Always treat your customers as if you are bout to lose them.

  Also get a very good taxi driver whom you can make an agreement with so that whenever a patient calls, you respond rapidly mgonjwa anafuatwa ghafla kama ni usiku just be flexible.

  It will be like your ambulance. (lazima mgonjwa will have to pay for the transport lakini bei isiwe kubwa sana)

  Kuhusu bei za dawa you just make sure that you mark up by 5% or 10%. Therefore mwenye pharmacy will have nothing to lose but he will be able to supply you with all they necessary madawa.

  BUT please kama unaona ugonjwa wa mteja wako huelewi just refer the patient to the right hospital. Also make sure you have a very nice network ya good doctors.

  I think you just need to have a sweet language to be where you want to be kwa mwenye pharmacy.
  All the best na ubarikiwe.

  Don't forget to ask God to give you courage.
   
 3. Mzuzu

  Mzuzu JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Can you pm me with a short description so I can get the picture of what you think, we can then see tunawezaje kufanya mkuu!
   
 4. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Wazo zuri, ila kama lengo lake ni kupata financial freedom inabidi atafute maeneo ya town. Sinza, Msasani mikocheni etc, pia bora afanye specialization ktk magonjwa ya kisasa i.e lifestyle diseases hapo ndipo kwenye pesa, na atafanikiwa ktk lengo lake la financial freedom na kuwa self employed.

  Otherwise Dokta utambue kuwa Fani yako ya utabibu ni fani ya kuhudumia binadamu awe na pesa au asiwe nazo, nadhani kuna kipengele kinachozungumzia hili jambo ktk mafunzo/kiapo.

  Na ndo maana madaktari wengi siyo matajiri unless yupo ktk life style consultations e.g plastic surgeons/cosmestics za viungo like maziwa,****** pua etc
   
 5. vena

  vena JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anha good idea, then wait ntakutafuta nikimaliza ku design plan for that....wait a second....
   
 6. S

  Short white Senior Member

  #6
  Apr 30, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ahsanteni wakuu kwa ushauri, naendelea kukusanya data zitakazowezesha ku draft business plan!
   
 7. S

  Short white Senior Member

  #7
  Apr 30, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Pia napenda kuwajulisha kwamba last year nilipata UNFINISHED BUILDING around sinza B (potential location) ambapo nilifanya agreement with the owner kwamba nimalizie ujenzi kwa gharama zangu based na shughuli ninayotaka kuifanya then kwenye rental fees nitalipa kidogo kufidia gharama ya ujenzi.

  Mkataba ni miaka 10.

  I went to see one of the architetures for the drawings and estimated costs za kumalizia ujenzi. I got the figure around 100 million, pamoja na basic equipments za kuanzia kazi.

  Nikaenda kumuona mtaalamu mmoja pale chuo kikuu for the business plan. Nikakubaliana nae gharama za kutengeneza plan.

  Nikalipa aka anza kazi kwa kufanya feasibility study. Akamaliza kutengeneza business plan, lakini kwenye agreement ya kazi huyu mtaalam aliniambia kwamba ataweza kufanya presentatiton ya business plan kwenye baadhi ya banks zetu na itakapofanikiwa alipwe commission yake.
  Nilikubali.

  Ikaja issue ya collateral,

  Mwenye jengo alikubali nitumie hilo jengo kama collateral, The building owner is optimistic. Personally, I could not have that money therefore nikaanza kutafuta pa kuanzia.

  As you know our banks's policies hawatoi hela for start up, nimehangaika huku na kule bila mafanikio, tatizo hapa ni resource.

  Nawakilisha wakuu.
   
Loading...