funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,473
- 31,966
Vodacom Tanzania imetoa tathmini ya mapato ya na kushuhudia ongezeko la wastani wa asilimia 6 kabla ya makato ya kodi.
My Take:
Biashara zinaendelea kuimarika zikiambatana na ubunifu.
Wale waleosema biashara zinakufa walikuwa wanahesabu biashara za mafisadi ambazo hamna namna ni lazima zife tu.